Ukimpata mwelewa maisha yanakuwa matamu sana kwakuwa mnasaidiana kila kituNdo kama hivyo....tunaomba mrejesho
Jiajiri kwanza kwa ushauri wangu... Wanawake huchoka haraka kuhudumia kuliko wanaumeNgoja nisubiri mrejesho maana nina mpango huo wa kuoa aliyeajiriwa huku nikiendelea na harakati zangu za kujiajiri.
Currently nmejiajiri mkuu, ila mambo bado hayaja break-even kibiashara. Na kwa plan zangu by 2020 au 2021 huenda nikawa nimeanzisha familia.Jiajiri kwanza kwa ushauri wangu... Wanawake huchoka haraka kuhudumia kuliko wanaume
Mkuu umeniona mimi nini?Vijana wenzangu waliooa kwa kutegemea hivyo nawaona wengi hawana raha samtymz wanatembea huku wanaongea peke yao.
Mungu akubariki sanaCurrently nmejiajiri mkuu, ila mambo bado hayaja break-even kibiashara. Na kwa plan zangu by 2020 au 2021 huenda nikawa nimeanzisha familia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu umeniona mimi nini?
Jiajiri kwanza kwa ushauri wangu... Wanawake huchoka haraka kuhudumia kuliko wanaume
Wewe ndo umehitimisha mjadala, Mungu akubariki sana, wenye macho hawaambiwi tazama, lyt ungekuwa karibu yangu Leo ningekusogeza japo mliman city ukajipatie unavyopenda.Uyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....
Mwanamke alioajiliwa na hana makuzi na malezi bora, ni mzigo na kero kubwa pesa yao ionekani nyumbani, ni muendo wa vikomba, michango ya sherehe, safari za kwao, nk sioni maana yoyote yaye kufanya kazi, nimesha surrender......kaa nyumbani kama hutaki changua moja mimi au Kazi..Ndo kama hivyo....tunaomba mrejesho
Nashukuru sana mkuuMungu akubariki sana
Ungelitazama kwa mtazamo tofauti usingeona kama unamhudumia mwanaume (kama mmeoana). Ungeona ni kama unajihudumia mwenyewe (coz mmeshakuwa mwili mmoja). Utaionaje sehemu ya mwili wako kuwa mzigo?Uyu ni mm kabsa kumuhudumia mwanaume kazi jaman me cku mbili tu ya tatu nakuona mzigo atakama unanitomba vzuri....
Bora wewe, kiasi kikubwa cha matumizi yake anajitegemea mwenyewe. Kuna jamaa yangu, mke anachukua 20,000 daily kwa ajili ya kula na mafuta ya gari. Saloon anaomba hela na mshahara wake huwa haujulikani unafanya kitu gani. Akiulizwa ugomvi wa kufa mtuMrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!
Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.