Wale mananga wa KWATA tukutane hapa

Wale mananga wa KWATA tukutane hapa

Mgambo kila mda wa chakula chochote kuanzi chai mpaka cha usiku ni Mabio kwanzaa ndo unakulaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mgambo wa dar wanakutana viwanjani saa 1-2, hapo wanapiga kwata na bunduki za miti wakimaliza wanapumzika. Kula kujitegemea, sasa kama kula unajitegemea nani atakukimbiza kwa mabio?
Mimi nimepiga kwata la jkt, kampuni ya G4S na kwata la idara moja hivi.
 
Wakati tuko Depo RTS Kunduchi, kipindi cha kwata kuna mkufunzi alikuwa anaitwa Ssgt Menyu alikuwa anaamuru platuni nzima ivue combat shirt, mnabaki na suruali ndio kwata linaanza, tulishamaliza kwata no.1 ya funga fungua. Tulikuwa kwenye kwata ya utembeaji, usimamaji na ugeukaji.Sasa huyu Ssgt Menyu alikuwa akitoa amri ya kutembea, sasa yale mausingizi ya wiki 6 na lile jua kali unakuta mtu anatembea huku amesinzia ngoma ina kuja pale anapoamuru platuni kuhalt,unapokosea yeye alikuwa hampigi yule aliyekosea, alikuwa anamshushia mabanzi ya mgongo mtu aliyekuwa nyuma ya yule aliyekosea huku akikuambia kwani wewe hukumuona.
Bila shaka ww ni int16/2003,coy ya tia bidii
 
Viongozi tuliotoa demo kwa kula doso la hatari(kama ni kozi basi doso lile lilikuwa la nyota)ili guard tunaziongoza ziache mapuuza chini ya luten mwakalebela (sikumbuki vizuri) jamaa katili sana yule muda wa kula tano tuakaambiwa viongz bakin kwa ustaarbu hahahahaha zoezi lilibadilika gafla tulichakaa mpka tukataka tukimbie uongozi....daahh hakika jeshin ni uvumilivu sio kwa maovyoovyo ya miaka ile
 
Viongozi tuliotoa demo kwa kula doso la hatari(kama ni kozi basi doso lile lilikuwa la nyota)ili guard tunaziongoza ziache mapuuza chini ya luten mwakalebela (sikumbuki vizuri) jamaa katili sana yule muda wa kula tano tuakaambiwa viongz bakin kwa ustaarbu hahahahaha zoezi lilibadilika gafla tulichakaa mpka tukataka tukimbie uongozi....daahh hakika jeshin ni uvumilivu sio kwa maovyoovyo ya miaka ile
Ilikuwa kurudi na ulemavu wa kudumu ni kawaida tu.
 
Hahahaaa kambin asiporud mtu mlemavu kozi ilikuwa nyanya hyo......mkuu ogpa sana yakuitw 821kj kule unabuluzwa na officer mwenyewe bila huruma
Ilikuwa kurudi na ulemavu wa kudumu ni kawaida tu.
Kwa kifupi jeshi kama huna mpango wa kuingia jeshini ni michosho sana....unaenda kujira tu bure
 
Asnte mkubwa ila mwanzo nilipoteza squard ***** maafisa waliniangukia nusu waniuwe wangese wale
Nilikuwa right mark siku ya kuapa, maafisa walikuwa wanataka ninyanyue mguu hata nikafe mbele ya safari ili wao wapate pongezi ya kuandaa gwaride zuri. Majeshini kuna watu wapumbavu jamani.
 
Hahahaaa kambin asiporud mtu mlemavu kozi ilikuwa nyanya hyo......mkuu ogpa sana yakuitw 821kj kule unabuluzwa na officer mwenyewe bila hurumaKwa kifupi jeshi kama huna mpango wa kuingia jeshini ni michosho sana....unaenda kujira tu bure
Hivi sera ya kila mtanzania apitie jeshi ni nzuri au mbaya?
 
Nilikuwa right mark siku ya kuapa, maafisa walikuwa wanataka ninyanyue mguu hata nikafe mbele ya safari ili wao wapate pongezi ya kuandaa gwaride zuri. Majeshini kuna watu wapumbavu jamani.
Ahahahahahaha
Chezea ma RSM wewe.
 
Hakuna kitu kitu kizuri jeshini kama kwata..
Kwanza ukitaka uifaidi usitumie nguvu(kujikaza na hasira)yaani uta enjoy na kinachofanya jeahi liheahimike ni pamoja na gwaride na sio hapa tuu bongo hata nchi nyingine..
Tena huwa najiukizaga hivi kwa nini kusingekuwa na mashindano ya magwaride ya majeshi kama kunavyokuwa na mashindano ya mpira.
safi sana just enjoy the show,usiwe na hasira kabisa,kwata ya mwendo wa kasi,kubadilisha hatua,kugeuka kulia na kushoto wakati wa mwendo wa kasi....ni burudani tu,ehe kunyakuwa na bakuli lako mkononi,kushona reli etc etc ,hata ukipelekwa grill pale kwa MPs ilikuwa ni furaha tu usoni mpaka MP anayekufanyisha grill anaona kama anapoteza muda wake,maana ile adhabu wewe unaichukulia kama burudani Fulani,nakumbuka sana pale 835KJ,nchi ina heshima na adabu.
 
Nilipigwa roba na afande credo kule kanembwa 824 kj siku hiyo nilivhungulia kifo kidogo kisa kwat
 
Ndio utaratibu kuitafuta chai au chakula kwa mabio kuzunguka fence ya kambi, angle moja kwenda nyingine ni km 3 times 4 = 12 km ndio unakuja kuja kugonga tea ya moto kwenye kikombe cha chuma na kipande cha mkate.
 
Mujibu wa sheria mukuje uku mmwage siri zote za jeshini maana ndo kazi yenu hiyo
 
Actually sio kutoa siri ni kukumbushana yale tuliyokutana nayo kule majeshini wakati tunalitumikia taifa letu kwa mujibu wa sheria, hakika ni burudani inayosababisha utamani kurudi tena kambini ukutane na members
 
Back
Top Bottom