Wale mananga wa KWATA tukutane hapa

Wale mananga wa KWATA tukutane hapa

Mp19

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
259
Reaction score
726
Habari wazee!
Kwata gumu sana, kwata ni heri tuwaachie wenyewe wakurya tu.
Binafsi naliweza ingawa si mwepesi sana.
Hebu tumcheki jamaa yetu hapa.
 

Attachments

  • 622667178217535.mp4
    19.6 MB
Habari wazee!
Kwata gumu sana, kwata ni heri tuwaachie wenyewe wakurya tu.
Binafsi naliweza ingawa si mwepesi sana.
Hebu tumcheki jamaa yetu hapa.
umefanya nimkumbuke mchizi wangu Mr disease (jina la utani),ndo alikuwa nanga wa C coy tukiwa.........................
 
Habari wazee!
Kwata gumu sana, kwata ni heri tuwaachie wenyewe wakurya tu.
Binafsi naliweza ingawa si mwepesi sana.
Hebu tumcheki jamaa yetu hapa.
Hakuna kitu kitu kizuri jeshini kama kwata..
Kwanza ukitaka uifaidi usitumie nguvu(kujikaza na hasira)yaani uta enjoy na kinachofanya jeahi liheahimike ni pamoja na gwaride na sio hapa tuu bongo hata nchi nyingine..
Tena huwa najiukizaga hivi kwa nini kusingekuwa na mashindano ya magwaride ya majeshi kama kunavyokuwa na mashindano ya mpira.
 
Ila kusema ukweli wenzetu wazanzibar kwa kweli jeshini huwa wanatuangusha sana ni basi tuu kipindi cha gwaride huwa ni nanga sana
Mamaee nilipigwa banzii mojaa nikahisi kuzimiaa...[emoji23][emoji23][emoji23]Kwata sitaki hata kulisikiaa
 
Mi nilikuwa nanga pale mwanzo kwenye funga fungua ila kadri siku ziliooenda hadi nikawa nawekwa right meker
Una urefu gani ?
Right markers ni matall zaidi na si kujua. Utajulia hapohapo
 
Mai nemu yako unaitwa nani?

We rara chini haraka, unajiita maiko kumbe wewe ni michaeli....
Mi bhana kile kipichi cha kuamka asubuhi twende mchaka mchaka ***** huwa naoatwa na hasira kisenge nilikuwa sipendi..
Yaani utasikia kryta huko anashoboka "weee lala tuu si ulikuja na hanga na kitanda chako wee lala sifa namba"
Kipindi hicho walioenda mchaka mchaka walikuwa wakifika mbali kabisa mnakusanya mnahesabu namba kika mtu anashika namba yake alafu mnarudi ule mda wa ku foleni sasa mnaanza kutoka moja moja kuanzia namba mija hadi ile ya mwisho .
Basi mnabaki ambao ndo ma doja mnaanza kula kazi[emoji2][emoji2]***** kama sio vyeti kuogopa kuviacha unaweza kimbia jeshi siku hiyo hiyo
 
Mi toll mkuu na nilikuwa gadi na mba moja section namba moja mtu wanza kwenye lile gwarude la mwisho siku ya kuapa
Una urefu gani ?
Right markers ni matall zaidi na si kujua. Utajulia hapohapo
 
Back
Top Bottom