Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Nasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona mtuumiwa!
Je tufanyeje ili yasitukute maana nasisikia si kila aliye jela ana makosa, wengine wanasingiziwa kesi tu.
Uwanja upo wazi, tupeane maujanja ili hata ukishikwa na polisi ufanye nini ili usiingie hata selo.