Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 453
- 685
Salute,,, Niende kwenye hoja moja moja Kwa moja binafsi mimi Huwa napenda sana ukifuatiria siasa ndani na nje ya Africa Kwa ujumla.
Leo nilikuwa napitia kitabu Cha mwandishi wetu mashuhuri mwenye mituzo kedekede nakiri kusema kama kweli hivi vitabu yeye ndio mwandishi halisi basi Yuko vizur shida Iko hapa huchoki kukisoma ila sasa shida Iko hapa👇
1_huyu jamaa mdomoni anaboronga sana interview zake nyingi anashindwa kuonyesha yeye ni mbobevu wa siasa yani mbowe ametawaka zaidi ya miaka kumi tano bila mabadiliko wamekuja watu wapya Bado ung'a ng'ania mbowe aendelee na kuwa mwenyekiti hii si sahihi
2.Chuki binafsi huyu jamaa.licha ya kuwa yeye ni chama pinzani unashindwa Nini kuficha baadhi code za udhaifu wenu ndani ya chama kwa mfano sasa hivi ccm wakitaka Siri ya kambi kutoka chedema YERICKO anacheuwa Kwa bei ya mkaa😂😂.
3.Sisi wateja wako wa vitabu unatupa wasi wasi kama wewe ni mwandishi halisi wa vitabu vyako maana vitabu vyako ulichagua mada ngumu kutafta taarifa mbaka kuuza maana wengi wamejaa kwenye udaku lkn binafsi ulinipa moyo sana kukufuatiria shida inakuja ukihojiwa na vyombo mara nyingi unakuwa ni mtu wa kejeli nyingi professionalism huonyeshi tuchukulie mtu kama PASKALI mayala huyu jamaa hata ukimsikia sehem anaongea Huwa ana hoja za msingi bila kejeli Tatizo na wasi wasi huenda unakunywa msabe na komoni unajisahau sana mimi mdau wako hapa Nina vitabu vitano kutoka kwako.