Sirikali,iache ku i diss hii mboga adhimuShida ya kunywa bia nyingi bila kitimoto, unajikuta unatoa kauli tata tata. Watu wenye kifafa naowajua mimi hata kitimoto yenyewe hawali, na huwapata mostly wakiwa mama kijacho
Uliwahi kuona mtu anazikwa kwa sababu kafa na maradhi yaliyotokana na nguruwe?Endeleeni na ubishi maana itakayokufa sio serikali.
Akijibu hilo swali najinyonga na udendaUliwahi kuona mtu anazikwa kwa sababu kafa na maradhi yaliyotokana na nguruwe?
Mara kibao.Uliwahi kuona mtu anazikwa kwa sababu kafa na maradhi yaliyotokana na nguruwe?
Walikufa kwa ugonjwa gani.Mara kibao.
Sema hujui tu.
Uwe unauliza mkuu.
Ungeandika tu ukweli "SERIKALI YATOA TAHADHARI KWA WALAJI WA KITIMOTO ISIYOPIKWA IKAIVA VIZURI"Hata waseme kwenye katiba kuwa ulaji wa Nguruwe ni haramu nitavunja katiba.