Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Hahahaha eti kiki na macamera
Haaaa haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh.
Hahahaha eti kiki na macamera
nini chips bhana nenda kule ferry tena ni soko la kimataifa la kuuzia samaki au vingunguti kule machinjioni uone halafu ulinganishe hayo matukio, hapo ndio utajua kwanini mwanamke anachanganyikiwa zaidi akiwa na tumbo kubwa kuliko takoWalaji wa chips mitaani kazi mnayo! Kwa hiki nilichokiona kwa kweli ni kazi kweli kweli, kumbe hawa vijana wakimaliza kuuza chips wanaoshea viatu kwenye vyombo vya kupikia chips? Wauza chips na nyie hebu kuweni waungwana basi!
Mkuu umenikumbusha tena habari za "Mijingo" kule machinjioni, jamaa wanaweka matumbo kwenye pichu utafikri jamaa ana shaBu kumbe kajaza matumbo kwenye pichu! Hii nilishawazuia kwangu kununua utumbo unaopitishwa na jamaa mitaani maana nilishashuhudia wakati nasimamia machinjio moja hivi wakati wa ukaguzi wa nyama unakuta carcass haina matumbo, ukiwakagua wachunaji unakumbana na matumbo kule mahali!!nini chips bhana nenda kule ferry tena ni soko la kimataifa la kuuzia samaki au vingunguti kule machinjioni uone halafu ulinganishe hayo matukio, hapo ndio utajua kwanini mwanamke anachanganyikiwa zaidi akiwa na tumbo kubwa kuliko tako
we nae umezidi kukariri,Msamvu ni Dar??? UKOLOMIJE wako umezidi mkuu...Wanaume wa Dar mnalo!![]()
Kaka basi sawa!we nae umezidi kukariri,Msamvu ni Dar??? UKOLOMIJE wako umezidi mkuu...


