Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Wanaume wa Dar mnalo!








Mkuu Dragoon,, hizi ni nzuri kama mamsap ndo kakutengenezea, yaani hapo zilipo mpaka nimemeza mate! Lakini hizi za kutengenezewa mitaani sitakula hata siku moja (over my dead body),, yaani nilichokiona jana hadi kinyaa [halafu likaanga chips lilivyo lijinga linaoshea viatu (YEBOYEBO) kwenye karai la chips na watu wanaliona]. Mkuu kama unakula hizi za stendi haki ya nani unalishwa vima (isomwe kutokea mwisho).
Ni hapa Msamvu yakopaki mabasi ya Nyehunge! Nilishindwa kukapiga picha maana kangegundua kwamba nimekaphotoa!


Walaji wa chips mitaani kazi mnayo! Kwa hiki nilichokiona kwa kweli ni kazi kweli kweli, kumbe hawa vijana wakimaliza kuuza chips wanaoshea viatu kwenye vyombo vya kupikia chips? Wauza chips na nyie hebu kuweni waungwana basi!

![]()
![]()
![]()
![]()
sawa mkuu lakini lengo langu ni kuona inakuwaje ili nijue vizuri
Dah aisee njaa imenishika ghafla

Matusi ya rejareja
Karibu tule chips. sisi hatunaga unafiki, tunakula tuDah aisee njaa imenishika ghafla![]()
![]()
![]()
Matination ndio nini?Si afadhali huyo alikuwa anaosha viatu kwenye karai ambalo mwisho lingewekwa jikoni kukaanga hizo chips.
Nilimuona muuza chips mmoja akichota ile marination ya mishikaki anaweka kwenye kachumbari![]()
Karibu muda niko hapa kwa KIPIPA napata chips!!! hahahahaahhKumbe ndiyo sababu chips za Kiseke PPF ni tamu sana, kale ka harufu ka viatu ni kama roast ya utumbo.
Marination ni mchanganyiko wa viungo ambamo nyama huwekwa kwa muda ili ipate ladha nzuri na kuifanya iwe laini.Matination ndio nini?
Dah aisee njaa imenishika ghafla![]()
![]()
![]()
Hahahaha eti kiki na macameraNilikusoma mkuu, sema nami natafuta kiki na macamera 😀😀😀😀