Hata wahuni huzeeka nduguMtu mzima unaamka saa kumi na mbili na nusu kumuandika binti mdogo, sasa mbona wewe ndio unateseka sasa hata umeshindwa kulala.
Hiyo kutokuelewa ndo kuelewa kwenyewe!Hata sijaelewa sijui ni vile sikusoma shule?
Hakuwa mshauri wangu,,,,bali kama mtu mzima nilikuwa navutiwa na mitazamo yake kiuchumi kwani niliona ni ushauri ufaao kwa watafutaji hasa vijana,,,,kwa sasa ninaye mfollow ni mjukuu ki umri lakini sina nasaba nao,,,zaidi nilifanya kazi kwa baba yake miaka ya tisini,,,kwa muda mfupi sana,,,Njiwa Hardware....Nieleweshwe tafadhali! Kwamba Haika alikuwa mshauri wako umemblock kila mahala, sasa hivi umemuweka mjukuu wako yupi sasa, ambaye kwao ulikuwa dereva kwa muda?
Hapo umeeleweka!Hakuwa mshauri wangu,,,,bali kama mtu mzima nilikuwa navutiwa na mitazamo yake kiuchumi kwani niliona ni ushauri ufaao kwa watafutaji hasa vijana,,,,kwa sasa ninaye mfollow ni mjukuu ki umri lakini sina nasaba nao,,,zaidi nilifanya kazi kwa baba yake miaka ya tisini,,,kwa muda mfupi sana,,,Njiwa Hardware....