Walaaniwe wauza unga wote

Walaaniwe wauza unga wote

MasterP.

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
8,158
Reaction score
6,572
Huyu jamaa anahitaji maombi...
1483340926934.png
 
biashara kongwe hii haifi ng'o.....
 
Sasa mkuu hao watumiaji wanapata wapi huo unga kama siyo kwa hao wauzaji??
Wauzaji wanauza sabanu kuna watumiaji! Usikute wanawatafuta wauzaji ili waagize mzigo.

Ukumbuke muuzaji yeye hapati athari yeyote kwa kuuza iweje mtumiaji anajua fika madhara ya madawa afu ajiingiza huko. Au nishawishi kwambq awajui.
 
Teh teh teh.....mabadiliko hayo kwa tz...hadi miaka 150. Ya uhuru itimie ndo tutaweza...bt 4 nw. N story tu....
 
Wauza Madawa ya kulevya Ukisema unga unamtisha na mangi mwenye duka jirani yetu
 
Back
Top Bottom