Wala simpi pole Maxence, nampongeza sana

the good thing ni kwamba watu humu hawaangalii title ni tu basi huwa wanaangali content..., watu walishaanza kukutupia mapovu live.., ila dah hata mm ni mmoja wao.
 
Chotera wa mkaya utawajuwa ukigusa wilaya zao [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Mmesahau na kwetu Shirati, Tarime, Nyamongo, Sirari, Utegi, Bunda, Butiama, Musoma ,Kinesi etc tuko pamoja dhidi ya dhulma
Issenye, Iseresere, Nyankomogo, Majimoto, Ngoreme, Kitaramanka, Mugumu, Rwamkoma, Bumangi, Makutano, Buhemba, Ushashi, Tairo n.k.
 
list nzuri hii
 
Kwa hiyo heading lazima mtu ufungue huu uzi hata kama una roho ya nyau
 
Kuna watu wanabahati zao,


Isinge goma ningejilaumu baadae

Nimetoa mshale wangu kuuweka kwenye uponde ukagoma, kuangslia kumbe ndugu yangu.

Unabahati sana aseee

Kichwa kidogo kikuponze
 
Siku nyingine usiandike jina la Bwana kwa herufi 'm' ndogo!! Inaudhi sana. Wenyehaki tutashinda
 
Kazi ya Bwana Yesu hiyooo. Ilikuwa ni kutetea Wanyonge. Viongozi Wa Dini tunawategemea nyie.Wana CCM pia tunawategemea nyinyi kukana Ubeberu unaofanywa chini ya Chama cha Mapinduzi. . Tujitokezeni kwa Wingi kupinga Ukandamizaji wa aina yeyote katika Taifa letu tukufu. Turudisheni na kudumisha Ubinaadamu Tanzania.
Maombi Mengi yafanywe hata ukiwa hapo nyumbani.
Turudishe Ubinaadamu Katika Bara letu. Ubinaadamu Kwanza.

Mwenyezi Mungu Atuongoze na Atulinde. Ameen.

 
mwalujo,nyamatala'mwashilalage, nyakibimbili,bugengele,mwamashimba, fukalo,mwakilyambiti,maligisu,katera,igomanoni,kilimilile,mwemage,manguanjuki,nyang'wale,puge,kintinku,ilongero,kyengege
 
kila mwenye pumzi na amsifu bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…