Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
Hapana mkuu, hatuwezi kuacha kuchaji simu kabisa, tunaelekea age za kuchaji simu kwa njia mbadala tofauti na tuliyozoea ya kuweka kwenye umeme.
duh tuanze kupelekana kwenye ngeli sasa?
kaka nikisema kutochaji namaanisha sisi, wateja , mimi wewe yule hatutochaji simu bali yenyewe yani simu itajichaji.
hizi simu zinaitwa SELF CHARGING PHONE yani wewe binadamu hufanyi effort yoyote kuchaji simu hutumii solar, hutumii generator la petroli, hutumii umeme wa maji wala chochote bali simu yenyewe ndio inajua itapata wapi nguvu ya kujaza betry yake. hizi ni baadhi ya njia zilizogunduliwa ninazozijua.
1. kwa kutumia mnara wa simu
hapa mnara utatuma chaji kwenye simu ilishazungumziwa hapa.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...u-kwa-kutumia-minara-ya-simu-tv-na-redio.html
2. kwa kutumia kioo cha simu cha solar
kioo kitakua kinachaji battery kila unapotumia kwenye mwanga wa jua.
Self-Charging Cell Phone Screens Coming Soon - IEEE Spectrum