vulturine vulture
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 154
- 99
Bakuja ninini??au mataputapu yashakukolea??mana inaonekana unapga.mataputapuHabar wakuu nazan nimelogwa na POMBE, kwasasa miezi miwili"2" nalewa kila siku hata nkikaa asubuh najikuta nashtuka nalewa tuu,
Kuna siku nliota kwamba nimepigwa pepo lakin nashangaa Sana nikiwa mzima napotezea san nliochokiota, nkilewa nakumbuka why??????
Msaada tafadhal wakuu
Nnamika 20 now mtoto wapekee kwa watoto 3 niwamwisho namimi ndio mwenye namafanikio kwafamilia hapa nmelewa now nipo Moro nawasha Brevic bakuja dar uck huuu kula pombe naludi kesho morn
NB.
Nahisi nakufa kimasihara wakuu.
USHAULIView attachment 1351138View attachment 1351140View attachment 1351141
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana umelewa wewe. Mara mtoto wa pekee, mara mtoto wa mwisho Kati ya watatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ladha ya mbunye unaijua?Nashukuru mpaka sasa siijui ladha ya pombe
Nashukuru mpaka sasa siijui ladha ya pombe
Mungu anahitaji roho tu, na si maini wala kongosho.Kama mimi mkuu.
Dah jamaa hapo juu anachoma maini na kongosho si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bakuja ninini??au mataputapu yashakukolea??mana inaonekana unapga.mataputapu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safii natamani wewe ndio ungekua mdogo wangu....pombe ndio kila kitu kwenye maisha, pombe ndio furaha ya maisha,maisha bila pombe si lolote,ipende pombe,iheshimu pombe,
Maisha yafaa nini bila pombe??
Upo kwenye mstari na njia sahihi kabisa,nikiwa na umri kama wako nilikua natembea kabisa na viroba mfukoni,mda wowote na popote nilikua nakunywa.
Mzeebaba usiache pombe na mchukie fala yoyote atakaejaribu kukuweka mbali na pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko mwenyew mkuu tuko wengi kama mimi wananijua ni mzee wa lock yani mpaka ifike saa nne mbona ni kelele
Kunywa pombe upate akili ya kupanga maisha sio unalewa kijinga usije ukazima sehem hatari ukapigwa ndonga
Safii natamani wewe ndio ungekua mdogo wangu....pombe ndio kila kitu kwenye maisha, pombe ndio furaha ya maisha,maisha bila pombe si lolote,ipende pombe,iheshimu pombe,
Maisha yafaa nini bila pombe??
Upo kwenye mstari na njia sahihi kabisa,nikiwa na umri kama wako nilikua natembea kabisa na viroba mfukoni,mda wowote na popote nilikua nakunywa.
Mzeebaba usiache pombe na mchukie fala yoyote atakaejaribu kukuweka mbali na pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
NaijuaLadha ya mbunye unaijua?
dodge
Aah. Haya dada ngoja hapa niondoke tu
Jr[emoji769]