Wakwepa kodi watumia mgongo wa UDA

Wakwepa kodi watumia mgongo wa UDA

tity

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
44
Reaction score
15
Nahisi kabisa zile siku saba zilizotolewa zilikuwa maalumu kwa kulibeba shirika la UDA haswa baada ya kupata wakati mgumu wa kuwawajibisha wamiliki wa shirika hilo na ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwaweka hadharani ili wafahamike. UDA limekuwa jipu kubwa sana aise..

"Bakhresa katuhumiwa tu, aliwekwa hadharani na mpaka barua ya kuisimsmisha ICD yake ikasambaa kwenye mitandao, cha ajabu sakata la UDA limekuwa gumu kidogo"

"Sintashangaa baada ya siku 7 kusikia UDA haidaiwi tena"
 
naona zile siku saba zilizotolewa na magufuli zilikuwa maalumu kwa uda haswa baada ya kupata wakati mgumu wa kuwaw?jibisha wamiliki wa shirika hilo na ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwaweka hadharani ili wafahamike...uda limekuwa jipu kubwa sana kwake..
Hao wamiliki ni akina nani mkuu??
 
Umbea unashida sana zingumza wazi bila kupepesa macho unatuletea uzi nusu nusu vipi bwana
 
UDA ni ya kina Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom