Wakuuu nchi haiko Salama hiii tuwe makini

Nimejaribu kuangalia Kwa makini nimegundua kuwa nchi haiko Salama kuna watu wanatoa matusi mazito mazito Kwa meko na kuna utekaji unaendelea na nimesikia kuwa kila Mkoa unajiandaaa kuwafukuza wasukumu kisa jiwe jamani msifike huko mkifanya hivyo mtaleta machafuko jamani tafadhali vumilia maaana nasikia mikoa mitano inaanza zoez hili ambalo sio zuri kwani mtaleta shida na mikoa Yote hiili litaenea Hakuna kitu kibaya duniani Kama issue ya mapigano ya kikabila, jamani mlio karibu na huyu mmpendwa mecko muombeni hili swala LA kuteka watu alisimamishe litaleta maaafa plz plz

Sent using Jamii Forums mobile app
BASHITE na MULAGA ndio wanaendesha GENGE LA WATEKAJI likidhaminiwa na Dotto James kwa Approval za MEKO.
 
Nimejaribu kuangalia Kwa makini nimegundua kuwa nchi haiko Salama kuna watu wanatoa matusi mazito mazito Kwa meko na kuna utekaji unaendelea na nimesikia kuwa kila Mkoa unajiandaaa kuwafukuza wasukumu kisa jiwe jamani msifike huko mkifanya hivyo mtaleta machafuko jamani tafadhali vumilia maaana nasikia mikoa mitano inaanza zoez hili ambalo sio zuri kwani mtaleta shida na mikoa Yote hiili litaenea Hakuna kitu kibaya duniani Kama issue ya mapigano ya kikabila, jamani mlio karibu na huyu mmpendwa mecko muombeni hili swala LA kuteka watu alisimamishe litaleta maaafa plz plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mkoa unawafukuza wasukuma kîvipi? Hoja zingine sijui kwa nini mtu mwenye akili unaruhusu hata ziingie akilini kwako..
 
Mkuuu kikubwa zuia hili lisitokeee, msifanye mchezo na mambo ya amani ya nchi jitahid kadri uwezavyo kuzuia machafuko hata wewe uliesalama Leo yakitokea hutakuwa Salama, hivi unajua kuwa ukimkosea mtu akiamua kuripiza hulipiza jupitiliza? Jaribu kukataa haya ya kukamata watu, kuuuwa watu kupambikiza watu makesi ya uongo hiii italeta shida mbele mkuuu siraha hazijawahi shida kwenye machafuko mkuu, wapo wanaozitengeneza Lakini hawakuweza kumaliza machafuko
Mimi nitakuomba usifanye mzaha sisi ndio tuliomchagua magufuli Lakini tunakoelekea ni kubaya

Mengine wanayataka wenyewe..!

Hata hekima ya mtoto inawashinda kutumia ebooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuangalia Kwa makini nimegundua kuwa nchi haiko Salama kuna watu wanatoa matusi mazito mazito Kwa meko na kuna utekaji unaendelea na nimesikia kuwa kila Mkoa unajiandaaa kuwafukuza wasukumu kisa jiwe jamani msifike huko mkifanya hivyo mtaleta machafuko jamani tafadhali vumilia maaana nasikia mikoa mitano inaanza zoez hili ambalo sio zuri kwani mtaleta shida na mikoa Yote hiili litaenea Hakuna kitu kibaya duniani Kama issue ya mapigano ya kikabila, jamani mlio karibu na huyu mmpendwa mecko muombeni hili swala LA kuteka watu alisimamishe litaleta maaafa plz plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Izo ni propaganda zako mnona iki mtaani hakina mambo hayo ni hiko social media tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuangalia Kwa makini nimegundua kuwa nchi haiko Salama kuna watu wanatoa matusi mazito mazito Kwa meko na kuna utekaji unaendelea na nimesikia kuwa kila Mkoa unajiandaaa kuwafukuza wasukumu kisa jiwe jamani msifike huko mkifanya hivyo mtaleta machafuko jamani tafadhali vumilia maaana nasikia mikoa mitano inaanza zoez hili ambalo sio zuri kwani mtaleta shida na mikoa Yote hiili litaenea Hakuna kitu kibaya duniani Kama issue ya mapigano ya kikabila, jamani mlio karibu na huyu mmpendwa mecko muombeni hili swala LA kuteka watu alisimamishe litaleta maaafa plz plz

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nina uhusiano na Wasukuma; ila hata nikitwangwa nje ya maeneo ya usukumani kwa sasa wala sitalalamika (japo nitaumia sana tu). Meko; go to hell!
 
Baba Yangu magufuli wasimamishe Hawa watekaji jamani wataleta majanga sisi tuko mtaaani Ndugu mheshimiwa nakupenda Sana zuia hili bunduki haijawahi fanikiwa kuzima mgogogoro, mfano wakiamua watu mia mbili kufungua account feki kwenye hiii mitandao yoote wakaanza kukutukana na kukudhalilisha kote kote kila Saaa kila muda huuyu anatokea huku huyu anakuja kutokea huku matusi ya hatari na kukudharirisha hutaweza kuwapata wote utaishia kuwapata 40 tu 160 hutawapata na tiyari watakuwa wamekudhalilisha kitaifa kimataifa na kikanda hizo bunduki hazitasaidia kitu chochote Lakini utakuwa umechafuka vibaya na tunakoelekea ndio huko baba Yangu zuia haya mambo Hakuna sababu utatawala tu wache wakukosoe hawatakupunguzia chochote baba mpenzi
Mfano wakikukosoa Hakuna tatizo hutadhailika ila ukiwateka huku Nyuma lundo la Ndugu watakutukana na kukudhalilisha mwisho wataaza kukuchora katuni na kukudhalilisha waache baba unaongeza tatizo unapowakamata utadhalilishwa na Ndugu wanaobaki na kadri unapozid kuwateka ndio unaongeza wa kukutukana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu kikubwa zuia hili lisitokeee, msifanye mchezo na mambo ya amani ya nchi jitahid kadri uwezavyo kuzuia machafuko hata wewe uliesalama Leo yakitokea hutakuwa Salama, hivi unajua kuwa ukimkosea mtu akiamua kuripiza hulipiza jupitiliza? Jaribu kukataa haya ya kukamata watu, kuuuwa watu kupambikiza watu makesi ya uongo hiii italeta shida mbele mkuuu siraha hazijawahi shida kwenye machafuko mkuu, wapo wanaozitengeneza Lakini hawakuweza kumaliza machafuko
Mimi nitakuomba usifanye mzaha sisi ndio tuliomchagua magufuli Lakini tunakoelekea ni kubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunapenda amani lkn kuna watu wanataka amani ivunjike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mkoa unawafukuza wasukuma kîvipi? Hoja zingine sijui kwa nini mtu mwenye akili unaruhusu hata ziingie akilini kwako..
Haya mambo mods hutoona wakiyazuia, lakini uzi ulioanzishwa humu kumuhusu kigogo kusalenda na kumbloku MTU kule twita umebanwa, watu wakilalamika jamii forum inatumiaka hawataki imini.
Screenshot_20191225-210314.jpeg
Screenshot_20191225-212318.jpeg
Screenshot_20191225-212407.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment ya juu hapo, ina kitu cha kujifunza.
Bunduki haijawahi leta suruhu, kuteka teka ni kukoongezea maadui wengi kuliko kawaida.

Kama ndugu yangu mlimteka unadhani ukoo wetu kwa asilimia 90 utapata kura zao? Labda uingie kwa ubabe kama kagame anavyofanya.

Baya zaidi jumuhiya za Kimataifa zinaangalia huu mchezo na soon utalipia garama yake, japo kibri cha kibinadamu a.k.a umwambafayi unatumika.

Kibaya zaidi msiniaminishe kila kiongozi amepewa mamlaka na mbingu, even devil has own power to lead in partnership through human.
 
Back
Top Bottom