Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
Kila mkoa unawafukuza wasukuma kîvipi? Hoja zingine sijui kwa nini mtu mwenye akili unaruhusu hata ziingie akilini kwako..
Huyu mchochezi huyu! Utekaji wa watu nasisi wasukuma tunahusikaje ?? Hebu tuacheni tuinyooshe nchi [emoji1478][emoji1478][emoji1478]
Happy dude [emoji67][emoji538]