Wakuu

watu8a.k.a 'Vandame' alipiga msamba chini(In red).
 
Last edited by a moderator:
Mkuu B'REAL wanaijua sana yokodach, takdach whu ha hu
 
Last edited by a moderator:
nakumbukaa kipindi hiyo arushaone kipindi chake disco la kevu au metro poo sinema ndo alikuwa mbabee pale arusha by night
 
watu8a.k.a 'Vandame' alipiga msamba chini(In red).

Hahahah!!!

Hii kitambo sana enzi tunapiga dojo kwa Sensei Ngumi Konzi...

Ulikuwa ni mwendo wa kupigishwa steps za mawashi, yokogeli etc
 
Kumbe kazi za nyumbani nazo zaweza kukupa mkanda mweusi.....hahaha

Ndo manake
kama wewe unacheza mechi kama jogoo na kuhema kama kuku wa mdondoo kazi kwako
Unatakiwa ukliingia kwenye mechi utoke ukiwa umeenda kilometa 1000 sasa kama wewe unaenda kilometa 10 dah majanga ni shidaaa Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Ndo manake
kama wewe unacheza mechi kama jogoo na kuhema kama kuku wa mdondoo kazi kwako
Unatakiwa ukliingia kwenye mechi utoke ukiwa umeenda kilometa 1000 sasa kama wewe unaenda kilometa 10 dah majanga ni shidaaa Vin Diesel


Hahaha...kumbe kuna mashindano mengine ungeweza kuwa bingwa....sema hakuna watazamaji tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…