DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,641
- 81,548
Okay itakuwa genetic issue hapo nikajua upo around early 20.Bado nipo 33
Okay itakuwa genetic issue hapo nikajua upo around early 20.Bado nipo 33
Mkuu ikiwa ni issue ya genetic kunakuwa hakuna tiba??Okay itakuwa genetic issue hapo nikajua upo around early 20.
Tiba zipo Ila kwa nchi yetu hatujafikiwa bado MkuuMkuu ikiwa ni issue ya genetic kunakuwa hakuna tiba??
Duuh shukran mkuuTiba zipo Ila kwa nchi yetu hatujafikiwa bado Mkuu
Kwakuwa hizo issue zinahitani kuangalia Kama Cell hazijakufa zinazowesha kuotesha Nywele
Wenzetu ulaya wanafanya na wanafanikiwa.
Me sio msaniiWe ni jinsia gan?
We ni msanii?
Sasa wigi la nini, Kipara ni ugonjwa?Me sio msanii