Wakuu

Wakuu

Kwani upara ni kidonda hadi uvishe plasta?
 
Ingia Facebook niliona huduma Kama hiyo Ila ukisearch utawapata
 
Kufanya Sana ngono au punyeto lazima Nywele ziishe kwakuwa madini Kama zinc n.k ambayo hustawisha Ngozi na nywele unayatoa

Punguza kujichua au acha
Sawa mkuu sijui kama inaweza kuwa sababu hiyo but familia yetu tupo wanaume sita ni mimi tu ndio nimmebaki na nywele but kama sababu ni kujichua vp tiba yake ni nini?? Au zitaota zenyewe bila dawa
 
Kuna genetics factors
Kuota kipara
Kuota Mvi

Ila kumbuka kuota kipara kunabidi kuendane na umri mfano pia .

Unaweza kuangalia je Familia yetu huwa tunapata upara tukiwa na umri gani then uka-link up na Age yako ya sasa .
 
Wengi ni 35 mkuu
 
Sasa nifanyeje ili kujua kama kuisha kwangu kwa nywele kunatokana na genenetic au ni sababu ya maradhi fulani?
 
Back
Top Bottom