Karibu sana Dodoma mkuu.Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar.
Mwaka huu nimekwenda hapo kama mara tatu and I am not impressed ! Wamepandisha bei na yet wanapika vibaya kuliko mwaka jana. Sitaki kuwataja jina nikaharibu biashara yao.
Ila pia kama kuna watu wanawafahamu please wawafikishie ujumbe huenda wakajirekebisha.
Ahsante sana Madame, nimekaribia.Karibu sana Dodoma mkuu.
Hapa sehemu za kula futari ni mbili tu.
Mwambao pamoja na Chef Asili ya pale Uhindini au tawi lao lolote.
Ila the best ni Mwambao....wale jamaa ni wachawi katika mapishi!!!
Sema uwahi kufika, unaeza jikuta umekosa futari.
Shemeji habari⦠huu ujumbe umenifikia late.Shemela binti kiziwi futari tayari?, ili mimi na nusu albino Half american tuje kula
Asante sana.Ahsante sana Madame, nimekaribia.
salama shemeji, leo mimi na ndugu yangu Half american watu andalia futari ehh?Shemeji habari⦠huu ujumbe umenifikia late.
Bei yake sasa atawezaChef Asili Cafe hapo Town, au mwambao !
Bei sio shida mkuu, Chef Asili nilishapazoea sana. Nimekumbaka eneo nililokuwa ninaliongelea ni SiVi, watu wengi sana wa Dodoma wajanja wajanja huwa ninawakuta maeneo hayo...its a well known placeBei yake sasa ataweza
Mwambao sio kiviiile pale labda kama unataka quantity tu na sio quality....ila kwenye pilao uhakika sana hasa la kukuNenda mwambao hapo mbona uhakika? Ukikosa unakunja Kona hapo taste tamu unakula burger Yako tamu kabisa
Leo utakuwa wapi kati ya hapo mkuu angalau tupate futari pamoja?Karibu sana Dodoma mkuu.
Hapa sehemu za kula futari ni mbili tu.
Mwambao pamoja na Chef Asili ya pale Uhindini au tawi lao lolote.
Ila the best ni Mwambao....wale jamaa ni wachawi katika mapishi!!!
Sema uwahi kufika, unaeza jikuta umekosa futari.
Astakhfirulillah!!Nenda Pork Joint pale utakuja nishukuru!
Wake zenu niwaambie kabisa waandae, ila mnipe kishika uchumba shemeji πsalama shemeji, leo mimi na ndugu yangu Half american watu andalia futari ehh?
au tuseme inshallah π
Kiukweli mie sijafunga...πLeo utakuwa wapi kati ya hapo mkuu angalau tupate futari pamoja?
Sawa Mkuu, Nimekuandikia inboxKiukweli mie sijafunga...π
Ila usijali, tunaweza onana baada ya futari mkuu.
Karibu sana tubadilishane mawazo.
Sawa, nimeona.Sawa Mkuu, Nimekuandikia inbox
ππππππ€£ππ€£π€£ππ€£π€£π€£ππAthumaniiiiiNenda Pork Joint pale utakuja nishukuru!