wakuu wangu msaada jinsi yakutumia wifi internet

wakuu wangu msaada jinsi yakutumia wifi internet

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha wifi internet kuna maneno yananizemgua mfano poor strength signal,wep secured,remembered ,not in range...pia ---- mahali inasoma ila ---- kakufuli kwa juu wanaomba password..
 
wireless networks needs passwords.. kama huna basi tafuta mwenye mali akupatie..

then hio poor signal means uko kwenye eneo mbali sana na lililokuwa designated na wifi.

kawaida strength ya wifi huoneshwa kwa bars ama otherwise katika device unayotumia, as far you go, less poor network you get and vice versa..
 
Hapa ni mahala pake kweli/
MMU????
 
wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha wifi internet kuna maneno yananizemgua mfano poor strength signal,wep secured,remembered ,not in range...pia ---- mahali inasoma ila ---- kakufuli kwa juu wanaomba password..

Hamia jukwaa la tech...utapata msaada.

Huku watakujeruhi na mabango.
 
Mkuu unless hiyo wireless ni open ndo haitataka key. Kama ni secured mfano na method ya WEP key ( ambayo ni a security code set by the administrator of the wireless network) lazima itatokea na kale kakufuli kukuonyesha hii ni secured network na ukitaka kui access lazima itakuomba ile code (password) aliyoi set administrator ili kujithibitisha wewe ni mruhusiwa wa ku join hiyo network ( the process known as authentication).
Sasa wireless signal ina span kwenye radius fulani (imagine duara fulani) ambapo the more closer u are to it the more signal strength u can get. Ukiwa mbali nayo au kama kuna obstruction btn u na ile device mfano heavy walls etc signal inakuwa weak. And ideally unataka kuwa na signal nzuri ( chukulia mfano wa network ya simu, si unataka bar ya signal iwe full pale not ki bar kimoja signifying poor signal strength and therefore potential for unreliable network). Unapokuwa nje ya ule mduara wa wireless signal then unasema hapo the wireless is not in range. Mfano upo home na jana uliji connect kwenye wireless ya kempiski hotel then leo ukiwa home ukitaka ku connect tena hapo itasema wireless not in range maana hakuna signal iliyo accessible kwa wakati huo.
Kuhusu remembered sijakupata vizuri ila unaweza uka set device yako mfano simu ikumbuke wireless network ulizo connect to mfano ya KIA, JKIA etc na pia unaweza ku set 'remember password' (ile WEP key tuliyo zungumzia juu) for a particular wireless network uliyokwisha wahi kujiunga nayo successfully. Hii inasaidia kuwa sio kila saa unapotaka kujiunga na hiyo network basi unadaiwa password hivyo basi pale unapokuwa within the range of a particular network u had successfully authenticated to basi ina ku connect moja kwa moja. Hope nimekusaidia kidogo
 
Back
Top Bottom