Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,654
Nimefurahishwa sana na technic au approach aliyotumia Comrade Hon. Makonda kuhusu suala la madawa ya kulevya. Kuna umuhimu wa RCs na DCs kufanya kama alivyofanya na iwe mapema. Ni kwa sababu moto uliowashwa Dar leo,utakimbiza mateja na wauzaji kwenda kujificha mikoa jirani au ya mbali tu. Kama kule nako watakuta kimenuka,ndo mwisho,labda wasepe kwenda nchi jirani. "Long live Dar RC"