Baada ya vita ya madawa ya kulevya kufanikiwa mh Makonda anzisha vita dhidi ya uuzwaji wa kiholela wa valium

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habar RC wetu mchapakazi jasiri na mwenye kujituma usioogopa kuhatarisha maisha yako kwa ajili ya taifa hili.Pole sana na majukumu makubwa ya kazi ya kuwatetea wanyonge na vijana wa kitanzania.Hongera sana kwa jitihada zako za kutengeneza dar mpya ya mfano wa kuigwa hongera sana kwa ushindi wa kishindo ulioupata kwenye vita yako dhidi ya madawa ya kulevya licha ya upinzani mkubwa ulioupata unastahili kuitwa simba wa vita.

Vita ya madawa ya kulevya imefanikiwa kwa kiasi kikubwa matokeo chanya tunayaona ni wakati wa kutangaza vita mpya katika mkoa wetu yenye lengo la kumkomboa kijana wa kitanzania na kupunguza uhalifu mwisho kuifanya dar kuwa sehemu salama zaidi.Nia tunayo uwezo tunao na sababu tunayo.

Sisi tunaotoka maeneo yaliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na uhalifu tunaelewa na tunafahamu madhara ya uuzwaji kiholela wa dawa aina ya valium aka mbandandu.Mbandandu imekuwa kichocheo kikubwa cha vitendo vya uhalifu.Wahalifu wengi hutumia dawa hizi ili kuondoa roho ya huruma ukiingia mingo zake harudishi panga nyuma.Tunakuomba Mh makonda uingilie kati hili ikiwezekana utafutwe utaratibu mzuri wa kuuza kwa wenye uhitaji wa dawa hizi katika mkoa wetu.
Vijana tupo tutakupa ushirikiano kuhakikisha dar inakuwa mahali salama zaidi.
Kwa pamoja nina imani tutaijenga dar mpya ambayo itakuwa mfano mzuri wa kuigwa Africa nzima
 
Vita ya madawa ya kulevya imefanikiwa? mleta mada acha kuandika upuuzi. Makonda kazaliwa kazikuta dawa za kulevya, kapata ukuu wa mkoa akakurupuka. Dawa za kulevya zinasumbua hadi mataifa makubwa na taasisi kubwa sana duniani, sembuse bashite wa bongo tu? Acha kumpa sifa, Makonda hana mchango wowote kwenye vita ya madawa ya kulevya zaidi ya kutafuta watu wake alipize kisasi tu.
Mleta mada nomba unipe takwimu kutoka chanzo huru zinazohusu utumiaji wa madawa ya kulevya Dar.
 
Pumbavu kabisa wewe huyo kilaza mwenzio kafanikiwa nini??madawa bado yanauzwa na kina chidbenz wewe unakuja na uharo kusema kafanikiwa....vyote alivyokuja navyo vimefeli kuanzia kupanda miti,usafi,walimu kupanda daladala bure labda ajaribu kuhamasisha mazoezi ya kuondoa hips na kibinda kwa wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite anachoweza ni kupayuka tu. Nchi hii (au mkoa wa dar) haitaongozwa na kilaza halafu akaacha mafanikio. Zaidi ni kutiana aibu tu.
 
Pumbavu kabisa wewe huyo kilaza mwenzio kafanikiwa nini??madawa bado yanauzwa na kina chidbenz wewe unakuja na uharo kusema kafanikiwa....vyote alivyokuja navyo vimefeli kuanzia kupanda miti,usafi,walimu kupanda daladala bure labda ajaribu kuhamasisha mazoezi ya kuondoa hips na kibinda kwa wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuropoka sisi tunaokaa kwenye mitaa ilikuwa imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na madawa tunajua jinsi gani vita ya makonda ilivyofanikiwa
 
Vita ya madawa ya kulevya imefanikiwa? mleta mada acha kuandika upuuzi. Makonda kazaliwa kazikuta dawa za kulevya, kapata ukuu wa mkoa akakurupuka. Dawa za kulevya zinasumbua hadi mataifa makubwa na taasisi kubwa sana duniani, sembuse bashite wa bongo tu? Acha kumpa sifa, Makonda hana mchango wowote kwenye vita ya madawa ya kulevya zaidi ya kutafuta watu wake alipize kisasi tu.
Mleta mada nomba unipe takwimu kutoka chanzo huru zinazohusu utumiaji wa madawa ya kulevya Dar.
nenda tandika mango kwa sharifu ujioneee mateja walivyopungua kaa nao wakuelezee dawa zilivyoadimika then ndo uongee au nenda kwa kipese then rudi nyambwela ukimaliza pita na maputo alafu usisahau taa nyekundu
 
Acha kuropoka sisi tunaokaa kwenye mitaa ilikuwa imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na madawa tunajua jinsi gani vita ya makonda ilivyofanikiwa
Wewe unakaa kwenye mitaa iliyokuwa imeadhirika! Je, unafahamu bei ya heroine au cocaine kwa sasa? Unajua zinakouzwa?
Hao wavuta bangi wa mitaa yako hawana pesa ya kununua bangi tu. Wengine walevi wa gongo unadhani ni madawa.
 
Acha kuropoka sisi tunaokaa kwenye mitaa ilikuwa imeathiriwa kwa kiasi kikubwa na madawa tunajua jinsi gani vita ya makonda ilivyofanikiwa
Acha kusifia ujinga wewe vuvuzela wahed,leteni vyeti ndio tumsifu kua kafanikiwa kuonyesha cheti au weka chako wewe kumsaidia,dar inaongozwa na kilaza ambae amefeli kila kitu kwenye uongozi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda tandika mango kwa sharifu ujioneee mateja walivyopungua kaa nao wakuelezee dawa zilivyoadimika then ndo uongee au nenda kwa kipese then rudi nyambwela ukimaliza pita na maputo alafu usisahau taa nyekundu
Hiyo mitaa wanatumia ngada ua makapi tu? Njoo ilala hapa nikuoneshe kijiwa cha ngada original, hazijapungua hata kidogo
 
Vita ya madawa ya kulevya imefanikiwa? Acha utani basi!!! Aliedaiwa kukamatwa na misokoto miwili ya bangi mmeshindwa kumfunga na hata mahakamani wakili wake kawadhalilisha leo unaseama vita ya madawa ya kulevya imefanikiwa? What are you smoking?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi kumbe imefanikiwa!!!vizuri sana,mchapakazi.
Wako wapi vile watuhumiwa??
Mahakama imetoa hukumu gani vile???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo mitaa wanatumia ngada ua makapi tu? Njoo ilala hapa nikuoneshe kijiwa cha ngada original, hazijapungua hata kidogo
hakuna asiyejua kuwa wilaya ya temeke ilifikia kubaya kwenye matumizi ya ngada as long temeke matumizi yamepungua ni jambo jema sana tena kupita kiasi
 
upo sahihi sana kusema hivyo mkuu; kwa asilimia kubwa sana tumefanikiwa kupunguza biashara ya madawa ya kulevya. na kazi nzuri bado inaendelea kupitia kamisheni mpya.

Tanzania bila madawa inawezekana. Awamu ya tano ni ya vitendo na matokeo.
 
Bora useme but utumiaji wa valium au mbandandu unabidi nao uthibitiwe mapema na kwa ujasiri wa makonda akiamua soon litaisha watoto wadogo wanatishia amani kwa ajili ya hizi valium
 
Back
Top Bottom