Wakuu wa Wilaya, cheo cha mkoloni kudhibiti waafrika kwa niaba ya gavana mwakilishi wa Malkia nchini

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Mbona sijawahi sikia mkuu wa wilaya ya Kisarawe kamweka ndani mtu masaa 48, kwa amri ya mkuu wa Wilaya.

Niseme ukweli siwapendi wakuu wa wilaya wengi na CCM kwa ujumla, lakini huyu mkuu wa wilaya ya Kisarawe anafanya kazi kwa ustadi sana na ana utu kwa watu wote.
 
Katika kupata viongongozi wazungu kuna wakati hushindanisha suta za wagombea, wakati fulani sura na roho ulandana
MBONA SIJAWAHI SIKIA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KAMWEKA NDANI MTU MASAA 48, Kwa amri ya mkuu wa WILAYA. ...... nisime ukweli siwapendi wakuu wa wilaya wengi na CCM kwa ujumla, lakini huyu mkuu wa wilaya ya KISARAWE, anafanya kazi kwa ustadi sanaa na ana UTU kwa watu wote.
 
mkuu hata sheria ya jeshi la polisi ni ya mkoloni, jeshi lina sura ya kikoloni kwa maana kwamba lipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya mkoloni (amabaye kwa sasa ni serikali ya CCM) na kuwanyoosha raia wasilete fyokofyoko, ile tume ya sheria ina kazi kubwa lakini mapendekezo yao hua yanapuuzwa na mkoloni.
 
Nadhani nchi nyingi za Afrika baada ya uhuru tuliamua kirithi sheria na tamaduni wa mabwana ndio maana vitu vilivyobadilika ni ngozi nyeusi kukaa kwenye viti vya enzi
 
MBONA SIJAWAHI SIKIA MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KAMWEKA NDANI MTU MASAA 48, Kwa amri ya mkuu wa WILAYA. ...... nisime ukweli siwapendi wakuu wa wilaya wengi na CCM kwa ujumla, lakini huyu mkuu wa wilaya ya KISARAWE, anafanya kazi kwa ustadi sanaa na ana UTU kwa watu wote.
TUMERITHI SHERIA ZA KIKOLONI KAMA WALIVYOZITUNGA WAO. TULICHOBADILI NI PALE PALIPOKUWA NA NENO GOVERNOR TUMEWEKA RAIS A and other administrative organs followed suit!
Tulichofanikiwa ni kuondoa UKATILI, UUAJI, UKANDAMIZAJI WA MWEUPE NA KUWEKA WA MWEUSI!
 
Changamoto yetu kuu kama taifa tuliwaondoa wakoloni lakini tukarithi vyote vya kikoloni.ndo maana tuna mifumo mingi ya kikoloni hadi Leo katika maeneo mengi
 
Back
Top Bottom