Wakuu wa Mikoa wamfariji Rais Samia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
881
Reaction score
774
Wakuu wa Mikoa, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia:
 
Dah!

Haya yote hayakufanyika kwa wale maelfu ya Watanzania waliouliwa Oktoba 29!



Kwao hao watu maisha ya mume yalikuwa na thamani zaidi kuliko maisha ya watoto wa Kitanzania.

Hatutasahau.
 
Ukosefu wa utu kwa upande upi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…