Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,899
- 218,683
- Thread starter
- #41
Umeelewa vizuri sanaSijaelewa, yaani Chongolo kasema RCs & DCs hawamsifii Mh. Rais Samia ukilinganisha na Rais Magufuli? Au sijaipata vizuri
Umeelewa vizuri sanaSijaelewa, yaani Chongolo kasema RCs & DCs hawamsifii Mh. Rais Samia ukilinganisha na Rais Magufuli? Au sijaipata vizuri
MaCCM yanavurugana mno. Vururuvuru..!Umeelewa vizuri sana
Wangetajwa majina ili tuwajuwe.Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Awaaimbi mapambio vizur😂😂😂😂Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Nadhani ni woteWangetajwa majina ili tuwajuwe.
Sio kweli, Katibu Mkuu, Chongolo is not such a fool to that extent.. Nyie CDM acheni huu upuuzi. Ebu mkahangaike na case yenu na wabunge wenu mahakamani. Mbowe mhuni sana.Umeelewa vizuri sana
Don't get carried away with lies, think properly, otherwise you will convince me una akili za kinyumbu.Yaan nimecheka Sana.Tanzania kuna vituko jamani.Kama mama uwezo wake wa kazi ni mdogo ,utasifia nn?
Tafadhali marehemu asionewe wivu!! Kumwonea wivu marehemu si maadili ya kiafrika. Ni vizuri marehemu akiendelea kuupiga mwingi!!Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Utapanic sana manka!Mfume DUME waliopandikizwa na Magufuli unawapa wakati mgumu MATAGA kumkubali bibi ”Nyamiremba ” na Bado pia wajane hawaamini kama gari la mkaa limekata moto kivile.
Watasifia tu awape muda. Au ndio wanatafutiwa sababu watolewe wawekwe watoto wa kumpetipeti mama kwa staha.
”nitumie na yakutolea mama, nipo hoi”
Nchi imekua ya hovyo sana hii.
Magufuli alikua KICHAA huyu bibi nae MWEHU. shida juu ya shida.
Kwa uhalisia watumishi wa serikali hawapaswi kuwa wapiga debe wa chama.Utumishi wao ni wa uma kuwachunguza kichama ni uonevu.Wachunguzwe kama wanahujumu serikali na kuzuia maslah ya uma.Imeelezwa kwamba Wakuu hawa wa Mikoa na Wilaya enzi za awamu ya 5 walimsifia sana Mh Rais wa Wakati huo na kumpamba sana , Lakini jambo hilo halifanyiki kwenye awamu ya 6 , ambako Rais wa sasa hasifiwi wala kupambwa na viongozi hao kulinganisha na awamu ya 5 , Jambo linalotafsiriwa kama USALITI .
Kauli hii imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM , Mh Chongolo , na kwamba uchunguzi huo unaanza mara moja .
Badoo wanaaamini
Hii ni serikali ya mpito yupo atakayeshika HALISI!!
Wana reserve NGUVU ya sifa!!
Maandiko hayajakanushwa!Bado upo na FDR wenu wa kutawala miaka 12 ??!! Kazi kweli kweli !!!
Waafrica sijui tumemkosea nini Mungu.