Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa.
Nitawapa taarifa hapa yatokanayo na mkutano huo soon ukimalizika maana simu huwa zinabaki getini.
Chukulia hii bado ni kama tetesi walau hadi sasa.
Nitawapeni taarifa hapahapa
Update.
Mkutano na Waziri mkuu umemalizika kwa kutangaza majina ya mawaziri watatu kuwa hawajajaza fomu za kuonyesha mali zao na kuzirejesha.
Mawaziri hao ni Januari Makamba, Augustine Mahiga na Joyce Ndalichako pamoja na baadhi ya naibu mawaziri.
Kwa pamoja wamepewa muda hadi leo saa 12 jioni kukamilisha zoezi hilo kqbla ya hatua za kinidhamu kuchukuliwa.
Kuhusu wakuu wa mikoa amesema mchakato unaendelea na soon utakamilika na kuwataka watanzania kuvuta subiraa kidogo tu.