mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Sawa...Wivu wa kijinga - Nkapa
Ubinafsi na ufisadi wa akili wanajifikiria wenyewe tu...hawafikirii kuhusu sustainabilityBasi kusikia wagawe imekuwa nongwa.
Kumbuka miaka inaenda na watu wanaongezeka tutahitaji shule,hospital. Na Malazi ya watu.
Au kila mmoja achukue chake na vizazi vya baadae to hell with them
mkigawana mapori yote..vizazi vijavyo vitaishi wapi?Kwanini Tupore Mashamba yasiyoendelezwa badala ya kugeuza Mapori kuwa Mashamba!
Ni sawa kwenda kupora Majumba yasiyoendelezwa kwa hoja hayajaendelezwa wakat kuna Viwanja vingi tu ambavyo havina hata Msingi wa Nyumba
Unakuta mtu/kampuni amezuia hekari kama 20000 zote ziko stratergic area kiasi kwamba hata mwanakijiji asiye na mtaji akapata hata hekari moja tu anamudu maisha yake na kutokuwa mzigo kwa serikali.Kwanini Tupore Mashamba yasiyoendelezwa badala ya kugeuza Mapori kuwa Mashamba!
Ni sawa kwenda kupora Majumba yasiyoendelezwa kwa hoja hayajaendelezwa wakat kuna Viwanja vingi tu ambavyo havina hata Msingi wa Nyumba
Wangekuwa hawajui wanachofanya kariakoo hadi leo kungekuwa na mtu anahekari 100 za mpunga.Basi kusikia wagawe imekuwa nongwa.
Kumbuka miaka inaenda na watu wanaongezeka tutahitaji shule,hospital. Na Malazi ya watu.
Au kila mmoja achukue chake na vizazi vya baadae to hell with them
Unakuta mtu/kampuni amezuia hekari kama 20000 zote ziko stratergic area kiasi kwamba hata mwanakijiji asiye na mtaji akapata hata hekari moja tu anamudu maisha yake na kutakuwa mzigo kwa serikali.
Miaka zaidi ya 20 hakuna shughuli yoyote ya maendeleo huoni kwenda kwenye mapori mapya ni kuongeza mapori tu...
Mhh hapa unachukua defender unanunua kisha unarudi kuendelea na maombi ya Amani. Angalau pameendelezwa
mkigawana mapori yote..vizazi vijavyo vitaishi wapi?
Shamba pori ni jina la kumpa unafuu mmiliki lkn ukweli lile ni pori tu kama hujawahi kusafisha hakuna chochote chako ulichoongeza tangu dunia iumbwe au iibuke...Ukiona umeweza kutofautisha Kati ya Shamba na Pori jua Basi huyo Mtu ndio kufanya Wewe uweze kutofautisha na kutamani kupora!
Kama angekuwa Hakuna alichofanya lingeitwa Pori na si Shamba
sijakusoma..mara kula mara kunya..inawezekana unapoint nzuri..embu zipangilie uziweke hapo tukuelewe....mm hoja yangu ni kwamba si vyema mapori yote wakagawiwa watu as bado watu wanazaliwa na watazidi kuongezeka watahitaji maeneo ya kukaa..serikali nayo itahitaji kujenga mashule masoko, vyuo n.k..so lazima matumizi ya ardhi yawe planned kwa kuzingatia mipango ya baadae..sasa na ww toa hoja yako.Kwani Ukigawanya Mapori maana yake unayala na kwenda kuyanya?
Akili za Maskini wengi wanadhani Nafuu Yao ya Maisha itapatikana kwa kupora au kujimilikisha Mali Hovyo hovyo!
Kama Suluhu la Umaskini ni kupora Mali za Watu Basi Azimio la Arusha la 1967 lingekuwa ndio Muarubaini wa Matatizo yote ya Maskini
Wangekuwa hawajui wanachofanya kariakoo hadi leo kungekuwa na mtu anahekari 100 za mpunga.
Nadhani ardhi inabadilishwa matumizi muda wowote mahali popote kulingana na maslahi mapana ya wananchi na serikali yao...
Nakubaliana na wewe.Lakini ikumbukwe pia kulikuwa na sehemu za mapumziko na hata viwanja vya mazoezi ambavyo Leo vimeuzwa.
Nani kaviuza?