Kwa nn hawa jamaa wamepotezwa namna hii?? Maana hawa ni vipenzi vya watu , hata mm nawakubali sana. Sasa kwa nn hawapati promo?? Ni nini wamekosa jaman
Ukisikiliza nyimbo zao alafu ukamuomba spika wa bunge akupe hotuba za wale wenye vitambi na wanao vaa suti japo sio wote,kama kweli unautashi utajifunza kitu!
kuna uwezekano wakawa hawana hata simu za tochi mfukoni mwao.... bange mbaya sana.
Eti huyo aliyepga ndala ndo anataka kugombea ubunge wa mji kasoro bahari....
kuna uwezekano wakawa hawana hata simu za tochi mfukoni mwao.... bange mbaya sana.
Eti huyo aliyepga ndala ndo anataka kugombea ubunge wa mji kasoro bahari....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.