1Africa54
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 462
- 540
Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security
Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom
Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo period na kwenda kwenye mifumo wa kusaka note nyingi zenye uhuru wa kutosha