Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 658
- 686
wakuu Habarin ?? Nimeandika uzi huu baada ya kuona mambo kadhaa ambayo ni mhimu kwa Namna moja ama Nyingine Yaongezwe kwenye Forum Yetu hii ..pengine Naweza kuwa mm ndo nimeona Yana Umhimu na kwako Yasiwe na Umhimu ila najua kuna watu walishawahi Kufikili au Kuwaza Kama nilivyoona Mimi...
Haya Ndo mambo Ambayo ningependa zaidi kama wahusika wa Hii Forum Wakafanyia kazi.
1:Kwanza Ningependa kuwaomba Mtuwekee Option Ya kufuta Uzi
2:Mtuwekee Option Ya Newest Na Oldest Post ili iwe Rahisi kujua hii post mpya na hii Ya zaman..
3:Mwonekano wa Replies katika Comment Uwe Bomba uliopo umekaa ki aina Flani Hivi ambayo sio Poa kabisa..(kishamba)
4ia ningeomba Upande wa Private Chat (Dm) Mtengeneze Bubbles Nzuri Na zenye Mpangilio kama Ilivo whatsapp ,, yaan jf private Chat siwaelewagi Vizuri..
5: option Ya ku (tag )mtu au uzi wa topic Flani iwe Rahisi ...
Na mengineyo mengi Ambayo sija Mention Hapa Pia hata wewe mdau una nafasi ya Kuchangia Kipi Kiboreshwe Kwenye Forum yetu hii Ya Jf ambayo Unahisi ni mhimu .
Najua ni kazi ngumu ila Mnatakiwa mchukue wazo mlifanyie kazi hata kama Sio leo Tutasubili tu ila tuwe na Uhakika tutapata tunachokihitaji .
Yakwangu Ni Hayo tu .
Sent using Jamii Forums mobile app