Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,365
Reaction score
21,743
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
 
Ogopa matapeli wanaomba uwacheki PM ama wanaotuma namba za simu.

Turudi kwenye tiba..kwanza mpeleke hospital kujua hasa ukubwa wa tatizo.

Pili hakikisha muda wote anakula.

Hakikisha hali au kunywa pombe..soda...au vitu vya viwandani.
 
Dawa zinazotuliza ulcers nasikia ni omeprazole,esomeprazole,relcer gel ama akachoma pantoprazole/pantocid

Lakini ni vizuri akisikilizwa na daktari
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.

Mambo, mi nlikua nazo nilikua nalia kama dada yako... sijui zake zipo stage gan coz i hear kuna wanaotapika damu so at first nlikua nakunywa maziwa mixed na asali na kiini cha yai zinapoa in 10mins hvi... ila nikaona attacks zinazidi so nikamtafuta Rahab wa Fiterawa, honestly sijui kama ni dawa au ni vyakula that helped ila nimepona japo dawa sikumaliza but i was strict na yale masharti.... matatizo mengi ya vidonda ni acid inakua imezidi sana mwilini so inabidi detox ya mwili ifanyike.

Niliacha: wali, nazi, jamii zote za kunde, maziwa, mayai, nyama nyekundu, nyanya, pilipili, ndimu, mchcha, kisamvu, mboga zote zenye kijani kibichi,ndizi aina zote, chips,mihogo au chapati, karanga, korosho,maembe, nanasi, chungwa, passion, matunda yenye acid na mbegu nyingi kama mapera, no alcohol, no vinywaji vya baridi, hamna soda wala juice za matunda yaliyokatazwa, mtindi, uji wa ulezi, majani ya chai, kahawa, chumvi nyingi na magadi, usitumie dawa zenye acid, sulphur wala caffeine no sigara.

VINAVYOFAA:
Asubuhi:
Chai ya Soya au
Mchaichai

VITAFUNWA
mkate, andazi au vitumbua- atafune sana kabla ya kumeza

Mchana/Jioni
Ugali laini, viazi mviringo vya kuchemsha au tambi

Mboga
Kbichi, bamia, nyama nyeupe ila no dagaa

Carrot, vitunguu maji na saumu, hoho,

Matunda: tango, papai, tikiti na parachichi

Vinywaji: maji na juisi za matunda tajwa hapo juu

Asikae na njaa muda mrefu, ale kwa wakti na atafune vizuri aache stress...

Nimetype mpaka vidole vinauma. All the best kwake... kwa maswali pia nipo. Mpe pole hayo maumivu nayajua jamani
 
Mkuu dawa ya vidonda vya tumbo ninayo ukitaka nitafute kwa wakati wako.
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
Akapime Kama ni h pylori positive aanze heligokit
 
Chapati zinafaa kula mkuu..??
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
Yupo mkoa gani mkuu?
 
Simple dawa ya vidonda vya tumbo Ni baking powder ya chapa mandazi etc au baking soda..Shs 700 tu dukani..amimine kidogo tu mkononi alambe asubuhi mchana na jioni kwa siku chache tu tatizo litakuwa historia ..utakuja hapa kuleta mrejesho..baking powder Ina kitu kinaitwa Bicabornate of soda imendikwa kwenye box lake .. Bicabornate of soda ikiingia mwili ikikutana na acid tumboni inabadilisha na kuwa alkaline...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
🤣 🤣 🤣 It's not that simple my friend-Naongelea kupitia experience yangu mimi mwenyewe na huu ugonjwa pamoja na wengine.
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
Painkiller tafuta BASIL SEEDS INAPONYA
 
We
Simple dawa ya vidonda vya tumbo Ni baking powder ya chapa mandazi etc au baking soda..Shs 700 tu dukani..amimine kidogo tu mkononi alambe asubuhi mchana na jioni kwa siku chache tu tatizo litakuwa historia ..utakuja hapa kuleta mrejesho..baking powder Ina kitu kinaitwa Bicabornate of soda imendikwa kwenye box lake .. Bicabornate of soda ikiingia mwili ikikutana na acid tumboni inabadilisha na kuwa alkaline...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe acha utani hayo ma baking soda na banking powder Ni magadi yaliyo sagwa yakasagika Yana chubua utumbo.Ukitaka kujua ubaya wake atumie VITAFUNWA vyenye hayoo Kama tumbo halitajaa hewa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom