Angekuwa na akili angekwambia hakikisha unafanya kazi kwa bidii, wekeza katika miradi mbalimbali, somesha watoto wako shule nzuri na wapatie mahitaji yao ya msingi vizuri.
Naona wengi mnekurupuka, mtoa mada hajasema ni uhusiano gani. Hajasema kuhusu uhusiano wa kingono. Kasema mahusiano na yanaweza kuwa ni mahusiano ya kijamii. Babu amemshauri vizuri inatakiwa tuwe na mahusiano mazuri na jamii.