Wakuu tushirikishane keyboard nzuri kwa smartphone

Mimi natumia ya DELL latitude D630.



Ova

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Google keyboard ni balaa

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
Mimi natumia hii Microsoft SwiftKey Beta..

Baada ya kuhama kutoka kutumia Go Keyboard

Uzuri wa hii keyboard inatunza kumbukumbu ya yote ninayotype kwa lugha yoyote, So napokua natype maneno yanakuja tu na click hata siandiki ni kama inajua nini naenda kukiandika (SwiftKey uses artificial intelligence (AI) and neural network technologies to enable next-word prediction) na ina ma features mengine mengi...
Screenshot_20210308-114903.jpg
 
Mimi natumia hii Microsoft SwiftKey Beta..

Baada ya kuhama kutoka kutumia Go Keyboard

Uzuri wa hii keyboard inatunza kumbukumbu ya yote ninayotype kwa lugha yoyote, So napokua natype maneno yanakuja tu na click hata siandiki ni kama inajua nini naenda kukiandika (SwiftKey uses artificial intelligence (AI) and neural network technologies to enable next-word prediction) na ina ma features mengine mengi... View attachment 1720071
SwiftKey Pia ina support ya kiswahili, na unaweza ku set lugha zaidi ya moja itumike. Hivyo Inakuwa rahisi kujua neno gani unaandika.
 
Back
Top Bottom