Wakuu tushirikishane keyboard nzuri kwa smartphone

Wale wataalam tujuzane keyboard bas kwa smartphone
Ila kumbuka kuwa keyboards nyingi huwa zimewekwa malware iitwayo "KeyLogers".

Hii keylogers inaiba data zako pale unapotype any word. Hivyo tuwe makini sana tunapotumia hizi keyboards za kudownload. Ndio maana websites nyingi ukipitia tu huwa wanakupa keyboard yao ili kukuepusha na hizi kadhia
 
Somo zuri kama zipi hizo
 
Ndio maana nashauri watu wadownload SwiftKey ambayo ni product ya trusted company ya Microsoft. Utasema Microsoft wanachukua data zako, ili iweje kwa mfano!
Ila kumbuka kuwa keyboards nyingi huwa zimewekwa malware iitwayo "KeyLogers".

Hii keylogers inaiba data zako pale unapotype any word. Hivyo tuwe makini sana tunapotumia hizi keyboards za kudownload. Ndio maana websites nyingi ukipitia tu huwa wanakupa keyboard yao ili kukuepusha na hizi kadhia
 
Mimi natumia hii Microsoft SwiftKey Beta..

Baada ya kuhama kutoka kutumia Go Keyboard

Uzuri wa hii keyboard inatunza kumbukumbu ya yote ninayotype kwa lugha yoyote, So napokua natype maneno yanakuja tu na click hata siandiki ni kama inajua nini naenda kukiandika (SwiftKey uses artificial intelligence (AI) and neural network technologies to enable next-word prediction) na ina ma features mengine mengi... View attachment 1720071
Mm pia natumia h na ni mzuri sana,
pia unaweza ku-translate sms uliotumiwa au unayotaka kutuma kwa lugha yoyote so ukinitumia sms yako ya kingereza cha ndani ndani kabisa huko bc hua na-copy kwenye translation ili nijue umeandika nn na pia na mm naandika kwa kiswahili then ina-translate then nakutumia bc wote tunakuwa sambamba kwenye hy lugha.
Simple hvy
 
Back
Top Bottom