Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Maji yamebaki kidogoHayo ni Maji au ni chupa
Saf mleta mada sio adi tukumbushwe na doctor
ni maji matamu sana hayo. mazuri kuliko hata kilimanjaro, ni mkusanyiko toka mbuga na misitu ya udzungwa, ni kama yanatengenezwa Mlimba, au kisaki au somewhere not so sure. ila nimeyanywa ni mazuri.
mang'ula kilombero/ifaraka/ulanga. maji hayo yanatoka milima ya udzungwa pande ya iringa yanatiririka huko ifakara/ulanga. unajua hata mbuga/game reserve ya udzungwa ukitaka kutembelea lazima upitie ifakara/ulanga. lakini wadzungwa wenyewe kama kabila ni wa iringa, na kama nakumbuka iringa kuna shule inaitwa udzungwa kuna dogo mmoja aliwahi kusoma kule, ni eneo la watu branch ya wahehe. maji ni matamu sana yale.Naonaga kiwanda pale mang'ula mbele kidogo
he's right, maporomoko ya maji karibia yote ya ifakara hasa mang'ula, mgeta, mbingu, mlimba, etc, yanatoka milimani mkoani iringa, na ndiko kwenye watu wakabila la wadzungwa. mbuga ya udzungwa pia ime extend hadi mkoa wa iringa. morogoro ni tambarare hakuan vyanzo vya maji. so ni sahihi akisema maji yanatoka iringa kushuka mang'ula ili jamaa chote aweke kwenye chupa.Mkuu Maji yanatoka mang'ula wilaya ya kilombero makao mkuu take yako Ifakara mkoa wa Moro.
Iringa na moro mbona vitu viwili mkuu AZUSA STREET