Wakuu tumieni maji kwa afya

Wakuu tumieni maji kwa afya

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
53730856ac4e9cb6a5ce13af06b1b690.jpg
 
Haya maji ni matamu na hayana chumvi. Kipekee ni maji ambayo yana ubaridi wa asili hulazimiki kuweka katika friji. Nimeyatumia nimeona ladha na faida zake. Unangoja nini¿Tumia leo
 
ni maji matamu sana hayo. mazuri kuliko hata kilimanjaro, ni mkusanyiko toka mbuga na misitu ya udzungwa, ni kama yanatengenezwa Mlimba, au kisaki au somewhere not so sure. ila nimeyanywa ni mazuri.
 
Naonaga kiwanda pale mang'ula mbele kidogo
mang'ula kilombero/ifaraka/ulanga. maji hayo yanatoka milima ya udzungwa pande ya iringa yanatiririka huko ifakara/ulanga. unajua hata mbuga/game reserve ya udzungwa ukitaka kutembelea lazima upitie ifakara/ulanga. lakini wadzungwa wenyewe kama kabila ni wa iringa, na kama nakumbuka iringa kuna shule inaitwa udzungwa kuna dogo mmoja aliwahi kusoma kule, ni eneo la watu branch ya wahehe. maji ni matamu sana yale.
 
Mkuu Maji yanatoka mang'ula wilaya ya kilombero makao mkuu take yako Ifakara mkoa wa Moro.
Iringa na moro mbona vitu viwili mkuu AZUSA STREET
he's right, maporomoko ya maji karibia yote ya ifakara hasa mang'ula, mgeta, mbingu, mlimba, etc, yanatoka milimani mkoani iringa, na ndiko kwenye watu wakabila la wadzungwa. mbuga ya udzungwa pia ime extend hadi mkoa wa iringa. morogoro ni tambarare hakuan vyanzo vya maji. so ni sahihi akisema maji yanatoka iringa kushuka mang'ula ili jamaa chote aweke kwenye chupa.
 
Back
Top Bottom