Wakuu sitaki ushauri , naitaji connection

mtu atakaye ni connect na mchongo .
Ushauri | Kwa kuzingatia kuwa hapa JF unawasisliana na watu tofauti, au watu tofauti wanasoma ulichoa andika, Na baadhi yao ni waajiri,

Na japo umesema hutaki ushauri, ila nakushauri jitahidi kutumia lugha inayojieleza kuwa wewe tayari ni matured hivyo inakuwa rahisi kwa mwajiri au mtu mwenye kazi kuwasiliana nawewe moja kwa moja, ila lugha ya kihuni au ya mtaani haijengi kwa muktadha huu wa kusaidiwa kupata kazi. Tumia kiswahili fasaha au kingereza fasaha itakujenge zaidi na kuleta matokeo chanya.

  • Mchongo
  • Connection
Hizi lugha waachie wasio jitambua.

Samahani kwa kukupa ushauri ambao umesema wazi hutaki kupokea , Yangu ni hayo tu.
 
Unaitaji au unahitaji ndugu mhitimu?
Sipendi watu mnaokosoa uandishi wa mtu ki ukweli hata kama ni kwa nia nzuri huwa tu najikuta SIPENDI.

JF imejaa wakosoaji sana hamna kitu utaandika wasikosoe.
Upo sawa wewe mkuu.
Nimependa Alivyokujibu,Nimependa sana.

Tujifunze kuchukua Point na kupita hivi,majukwaa ya lugha na elimu yapo huko huku kwenye maisha hatuna formula ya uandishi wala uongeaji acheni kujifanya walimunwa Viswahi wakat hamna uwezo wa kuweka wazi hapa matokeo yenu ya KISWAHILI shule mlizoptia.
 
[emoji3] Asante mkuu kwa mchango wako , nitaufanyia kazi . imenifanya niandike ivyo hili watu waweze kusoma bandiko langu (kuwavutia) . Nashukuru mungu watu wote waliochangia ,wamenisogeza sehemu nzuri zaidi kimawazo na matendo pia.

Barikiwa mkuu.
 
Mkuu bora wewe umesema.
 
Hizi degree hizi. Kw Nchi yetu ni maskini.

Engineer kukosa kazi maana yake hatuna viwanda, kilimo hohehahe na wafanya biashara hawawekezi kwenye manufacturing woote wanazamia China kubeba nguo, redio ., Simu na saa
 
Labda Kama una interest zingine namba si unamfuata inbox
 
Ni kwamba ww ni ndio kijakazi nadhan utakuwa umenielew, maan kama ni mzg ww ujue unauwekaje unapangwaje ikitokea hali isiokuwa nzuri njian kama vile damage ya gari ww utampigia kazi sana
Aha sawa sawa.
 
Staki kukuvunja moyo ila kwaiyo fani yako mechanical kupata connection ngumu sana

Ila muombe sana Mungu milango itafunguka

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Mechincal tenchician au Engineer niwatu wako sokoni sana tembelea mkuranga pale wiki moja viwandani uwezi kukosa kazi nenda kiwanda cha BBQ or Expert consultancy kipo kisemvule pia pita pepsi hutajuta sana mtembea bure sio kama mkaa bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…