BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 850
Asante ila sitaki pesa naitaji connection tu.Weka namba yako ya Simu PM nikuchangie japo nauli ya kusambazia CV
[emoji1787] Asante mkuu , mimi naomba connection wakuu.Aloooooooooo.
Sitoi kazi natoa ushauri.....
Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.Asante ila sitaki pesa naitaji connection tu.
[emoji846][emoji846][emoji846] sio kweli , ni jinsi unavyo soma mkuu.Unafokea waajiri aisee
Asante mkuu.Pole sana na Kila la kheri...
Duh! Labda atakua frustrated 🤣🤣ila atakuja PM kimya kimyaSawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday[emoji120][emoji120]
Mungu akubariki na akuzidishie kwa moyo wako mzuri mkuu , najua lengo lako ni zuri ila kwa sasa omba mtu atakaye ni connect na mchongo .Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday[emoji120][emoji120]
Upo sawa wewe mkuu.Unaitaji au unahitaji ndugu mhitimu?
Njoo tusafiri wote kwenye Lori.Kama bango linavyo jieleza wakuu.
Nimeshachukua ma ushauri kibao nimeyafanyia kazi lakini wapi,utasikia CV yako andika hivi , nenda kwenye kampuni X kapeleke CV , nakutumia tangazo la kazi u apply, zote zinagonga mwamba
Inauma sana umetoka zako asubuhi unaenda kwenye ofisi kupeleka CV alafu inaishia kwa mlinzi
Ombi langu ni moja wakuu kwa unyenyekevu naombeni connection ya kazi /kujitolea sehemu yeyote dar es salaam au mkoani . Fani yangu MECHANICAL ENGINEER nipo Dar
Karibu PM ipo wazi wakuu
Asanteni ,muwe na usiku mwema .
Sawa mkuu , nitakucheki PM kuhusu iyo ishu . Asante na mungu akubariki kwa kazi ya mikono yako na akupe moyo wa upendo huo huo.Njoo tusafiri wote kwenye Lori.
Kila tunaporudi Dar hukosi rizki kama ukijiongeza naweza kukuruhusu gunia mbili tatu za kiazi.
Mkuu kama hutojali naomba unichangie mimi.Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday[emoji120][emoji120]
Yaani huu muda wote wakufanya haya ni bora ajiajiiri ili aajiri connection.Connection ni kuitengeneza mwenyewe Mkuu niamini mimi, unaweza kuconnectiwa na wadau msiendane pia.
Mimi natoa ushauri tu, badili mfumo wa maisha na ikiwezekana hama mkoa kabisa, ila hama kimkakati yaani utakapoenda kuwe na unachokifuata.
Ibuka kwenye events kam marathon, festivals na mambo kama hayo ukuwa na lengo la kujihusisha na wadau.
Hata kwenye ma garage wewe ibuka huko utakutana ba watu wa mazingura yako Mkuu. Jichanganye tu hayo maeneo ukuwa smart utaonekana tu Mkuu.
Zaidi ya yote kuwa humble sana Mkuu.
Staki kukuvunja moyo ila kwaiyo fani yako mechanical kupata connection ngumu sanaKama bango linavyo jieleza wakuu.