Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,712
- 63,394
- Thread starter
- #41
Unataka umchukue?Hebu weka picha tuone
Unataka umchukue?Hebu weka picha tuone
Tatizo sipafahamu kwa huyo baharia, na binti naye anamfichafichaMkuu bado hujamaliza mpakie kwenye gari na mizigo yake mpeleke kwa huyo baharia wake
Hiyo ni laana mkuu, ukitaka uharibu familia ni kutafuna ndugu wa mke; bora kuchepuka mbaliNa wewe si umtafune tu?
Kuna uwezekano huoUmefanya maamuzi sahihi kabisa. Ila tu huyo shemeji yako atakuja kujuta maana anadate na mme wa mtu. Ni hayo tu
Inabidi tu kuchukua maamuzi magumuSitaki kujua kama umekosea ama la!
Nilichofurahia ni kuona ume act kama mtoto wa kiume.......and ultimately ukatoa statement ya kiume.
Wanaume tumebaki wachache sana Duniani
kweli mkuu, nami nataka iwe fundisho kwakeMaamuzi sahihi kabisa, ndugu hawa tunajitoa sana kwa jasho na damu lkn hawana shukran zaidi ya matusi, aisee mzee kunywa peps mkubwa wao naja kulipa, shenziiiii yaani mtu utakuta unaishi dar hajui bei ya gesi, umeme, tv, chakula, maji, dawa ya meno, sabuni vyote anapata bure alaf analeta nyodo. Huyo mpe likizo akupunguzie usiku
Nalipokea hiliHuyo mrudishe nyumbani kwao wao ndio wampeleke kwa bwana ake aliyempa mimba na wadai mahari yao
Simamia maamuzi yako nakuunga mkono.Tunaishi na mdogo wa mama wa watoto wangu, ambaye mi namuita shemeji, baada ya kumaliza kidato cha sita matokeo yake hayakuwa mazuri, nikaamua kumuweka kwenye shughuli zangu ili aendelee kung'ara mjini.
Mnavyojua jua tena mabaharia, wakiona kitu kizuri kinameremeta hawaachi kukipigia misele ya hapa na pale; nikawa napata taarifa tu, mara kuna jamaa huwa anamleta nyumbani na gari, lakini huyo jamaa hashuki wala haji kusalimia nyumbani. Mi nikawa sifuatilii sana nikijua ni mtu mzima, cha muhimu mimi naangalia mke na watoto wangu tu; hayo mengine atajua mwenyewe kwa sababu ni mtu mzima.
Siku za wkend, dada yake akiwa hayupo, huyo shemeji anamuita mtu wake anakuja nyumbani wanafanya mazungumzo yao, na wakiona mida imekaribia mwenye mji kurudi, anaondoka kabla hajakutwa.
Siku moja dada yake , akamuuliza kama yuko kwenye mahusiano amtambulishe huyo mtu ili aweze kujulikana. Lakini binti alikataa; na baada ya kubanwa sana ndipo alikiri kuwa yuko kwenye mahusiano.
Mbaya zaidi hivi karibuni, hali ya shemeji inaonyesha ni mjamzito; na baada ya kuulizwa ni nani amemjaza amira? Akakiri, ni yule mpenzi wake. Dada yake alikasirika sana, na akamuuliza anampango gani na yeye, na je yuko tayari amchukue wakaishi naye? jibu alilomjibu, ni ndiyo, yuko tayari.
Nilivyojulishwa hiyo hali, mi sikuwa muongeaji sana kwa sababu mi huwa na tabia ya kujali yanayonihusu mimi tu, mke na watoto wangu tu.
Kilichonikasirisha zaidi kwa huyu shemeji, ni kuanza kuingilia mikakati yangu ya maisha; kinachojadiliwa ndani anampelekea huyo mtu wake hata kama hakimuhusu. Na hizo taarifa zilivuja baada ya kunaswa akiongea na simu na huyo baharia. Mbaya zaidi jana, kuna kazi alitakiwa afanye na asaidiane na vijana wa kazi; kilichonisikitisha zaidi aliwaambia hao vijana, mi hii kazi sifanyi kwa sababu mimi sijaajiriwa na silipwi mshahara, nyie mnaolipwa fanyeni hiyo kazi.
Nilivyojulishwa kuwa amesema hivyo, nilipatwa na hasira; nikampigia simu dada yake na kumuambia, kufikia jumapili awe ameondoka nyumbani na aende kwa huyo aliyempa ujauzito; kwa sababu hapo nyumbani si wodi ya waja wazito. Na aanze leo mpaka jumamosi kuwasiliana na huyo mtu, waweke mipango ya yeye kwenda kuhamia kwake.
Cha ajabu leo, nimepata mrejesho baada ya binti kuwasiliana na aliyempa ujauzito; baharia amemuambia bado kujipanga asubiri kwanza. Nami nikamwambia dada yake, msimamo uko pale pale, jumapili lazima aondoke mtu; kama mtu amehifadhiwa na anashindwa kupaheshimu alipohifadhiwa, inabidi akapambane na mazingira ya kujitegemea.
Sasa sijui baharia ndio amemtema hivyo, au kweli anajipanga; mi sijui!
Cha kujifunza; sisi wanaume tunapenda binti mrembo, mwenye kupendeza, nywele nzuri, ngozi nzuri, mavazi mazuri n.k bila kujua hivyo vitu vinagharamiwa. Na mbaya zaidi unapokabiziwa mtu mzima mzima ukamtimizie hivyo vyote, inakuwa shida; ndio hiyo kutelekezana.
Kwa kifupi, shemeji inabidi akapambane tu na hali yake iwe alidanganyika au utamu ulimzidi, ni shauri yake.
Wakuu, si nimefanya maamuzi sahihi?
Kama umesoma mwanzo mpaka mwisho na hujajua jinsia ya mtoa mada inabidi ukapimwe akiliWe ni me au ke?
Huyo alikuwa tatizo bhas. Vizuri umemfundisha. Hawezi kurudia tena upuuzi wa hivyo.Mkuu nilikuwa namtoa Sana TU hasa wikend nilikuwa nampa vikaz na pesa nilikuwamnamtoa sema alijenga kiburi na dada yake alikuwa upande wake
We subiri ajipange KUKUKOSANISHA na mkeoHapana mkuu, Wife yuko upande wangu
Uko sahihi kabisaTunaishi na mdogo wa mama wa watoto wangu, ambaye mi namuita shemeji, baada ya kumaliza kidato cha sita matokeo yake hayakuwa mazuri, nikaamua kumuweka kwenye shughuli zangu ili aendelee kung'ara mjini.
Mnavyojua jua tena mabaharia, wakiona kitu kizuri kinameremeta hawaachi kukipigia misele ya hapa na pale; nikawa napata taarifa tu, mara kuna jamaa huwa anamleta nyumbani na gari, lakini huyo jamaa hashuki wala haji kusalimia nyumbani. Mi nikawa sifuatilii sana nikijua ni mtu mzima, cha muhimu mimi naangalia mke na watoto wangu tu; hayo mengine atajua mwenyewe kwa sababu ni mtu mzima.
Siku za wkend, dada yake akiwa hayupo, huyo shemeji anamuita mtu wake anakuja nyumbani wanafanya mazungumzo yao, na wakiona mida imekaribia mwenye mji kurudi, anaondoka kabla hajakutwa.
Siku moja dada yake , akamuuliza kama yuko kwenye mahusiano amtambulishe huyo mtu ili aweze kujulikana. Lakini binti alikataa; na baada ya kubanwa sana ndipo alikiri kuwa yuko kwenye mahusiano.
Mbaya zaidi hivi karibuni, hali ya shemeji inaonyesha ni mjamzito; na baada ya kuulizwa ni nani amemjaza amira? Akakiri, ni yule mpenzi wake. Dada yake alikasirika sana, na akamuuliza anampango gani na yeye, na je yuko tayari amchukue wakaishi naye? jibu alilomjibu, ni ndiyo, yuko tayari.
Nilivyojulishwa hiyo hali, mi sikuwa muongeaji sana kwa sababu mi huwa na tabia ya kujali yanayonihusu mimi tu, mke na watoto wangu tu.
Kilichonikasirisha zaidi kwa huyu shemeji, ni kuanza kuingilia mikakati yangu ya maisha; kinachojadiliwa ndani anampelekea huyo mtu wake hata kama hakimuhusu. Na hizo taarifa zilivuja baada ya kunaswa akiongea na simu na huyo baharia. Mbaya zaidi jana, kuna kazi alitakiwa afanye na asaidiane na vijana wa kazi; kilichonisikitisha zaidi aliwaambia hao vijana, mi hii kazi sifanyi kwa sababu mimi sijaajiriwa na silipwi mshahara, nyie mnaolipwa fanyeni hiyo kazi.
Nilivyojulishwa kuwa amesema hivyo, nilipatwa na hasira; nikampigia simu dada yake na kumuambia, kufikia jumapili awe ameondoka nyumbani na aende kwa huyo aliyempa ujauzito; kwa sababu hapo nyumbani si wodi ya waja wazito. Na aanze leo mpaka jumamosi kuwasiliana na huyo mtu, waweke mipango ya yeye kwenda kuhamia kwake.
Cha ajabu leo, nimepata mrejesho baada ya binti kuwasiliana na aliyempa ujauzito; baharia amemuambia bado kujipanga asubiri kwanza. Nami nikamwambia dada yake, msimamo uko pale pale, jumapili lazima aondoke mtu; kama mtu amehifadhiwa na anashindwa kupaheshimu alipohifadhiwa, inabidi akapambane na mazingira ya kujitegemea.
Sasa sijui baharia ndio amemtema hivyo, au kweli anajipanga; mi sijui!
Cha kujifunza; sisi wanaume tunapenda binti mrembo, mwenye kupendeza, nywele nzuri, ngozi nzuri, mavazi mazuri n.k bila kujua hivyo vitu vinagharamiwa. Na mbaya zaidi unapokabiziwa mtu mzima mzima ukamtimizie hivyo vyote, inakuwa shida; ndio hiyo kutelekezana.
Kwa kifupi, shemeji inabidi akapambane tu na hali yake iwe alidanganyika au utamu ulimzidi, ni shauri yake.
Wakuu, si nimefanya maamuzi sahihi?
Ndio maana nataka nimtoe mapema asijeharibu familiaWe subiri ajipange KUKUKOSANISHA na mkeo
Anakimbia majukumuBaharia alizama vizuri inabidi apambane meli isizame