Wakuu, si nimefanya maamuzi sahihi?

Wakuu, si nimefanya maamuzi sahihi?

Kwako wewe ni sawa, ila kwa mkeo siyo sawa.

Watoto wa kike wana changamoto, na inakubidi sana uende nao kwa akili. Hata kama si mkeo.

Kama jamaa ameshasema anajipanga, bila shaka utakuwa unamfukuza aende asipopajua.

Na akienda kupatwa na mabaya huko, lawama za kwanza ataangushiwa dada yake kwa kumtelekeza mdogo wake.

Kama humtaki tena hapo nyumbani, jamaa pia ameshindwa kumchukua, fanya namna umrudishe nyumbani kwa wazazi wake. Akalee mimba huko kuliko kumvurumisha aende usipopajua.

Ila pia, usipendelee kuwanyima watu malipo (mshahara) kwa kisingizio kuwa unamsaidia. Anaishi kwako, anakula na kunya kwako. Hata kama ni mdogo wako wa damu, mlipe stahiki zake. Hizo huduma zingine ziwe motisha tu.
Kuishi nyumbani itahitajika nidhamu. Kuhusu motisha anazo za kutosha,mpaka dada yake alishawishi anunuliwe usafiri na tukafanya hivyo.Kwa sasa napima upepo, mpaka jumapili kama hakuna cha kueleweka itabidi arudi kwao.
 
Sawa amenunuliwa usafiri ila analipwa?? Maana huo usafiri sidhani kama akiondoka hapo kwako unamruhusu aende nao
 
Una moyo.mm nilifukuza shemeji yangu siku hyohyo baada ya kumfuma kaleta demu nyumban Tena ,chumba Cha wanangu
Kwanini ulikuwa unafuga dume kubwa hivyo nyumbani bila kumpatia angalau misimbazi kadhaa Kwa wiki ili aweze kujikimu mahitaji yake ya msingi? Asingekuvunjia heshima hivyo.. Angekwenda kwenye nyumba za wageni kumaliza haja zake.

Kama wewe ni mwanaume kweli na unaelewa kiu ya ile kitu utaelewa huyo bwana mdogo alizidiwa, wala sio dharau.
 
Kama mtu wake kamtelekeza wewe msamehe tu kaka ,ukimfukuza hapo alafu mtu wake kakimbia itakua ni kukitesa kiumbe kilichopo tumboni kisichokuwa na hatia yoyote ile , kama mtu wake atumuita mwache lkn akiingia mitini ,Msaidie tu kaka
 
Kwanza, nikupongeze kwa kuwa bize na maisha yako mke wako na watoto wako.

Maamuzi uliofanya Ni sahihi Sana.
Wewe jukumu lako Ni familia yako Ila huyo Shemeji mpaka alipovua ch*p Tayar anajielewa

Muache aingie mtaani baaade aje kuitwa mwanamke wa shoka..
Usigeuze nyumba yako kuwa sehemu ya kuhifadhi wazinzi waliopata mimba.

Maendeleoniwewe#
 
Hebu weka picha tuone
Tunaishi na mdogo wa mama wa watoto wangu, ambaye mi namuita shemeji, baada ya kumaliza kidato cha sita matokeo yake hayakuwa mazuri, nikaamua kumuweka kwenye shughuli zangu ili aendelee kung'ara mjini.

Mnavyojua jua tena mabaharia, wakiona kitu kizuri kinameremeta hawaachi kukipigia misele ya hapa na pale; nikawa napata taarifa tu, mara kuna jamaa huwa anamleta nyumbani na gari, lakini huyo jamaa hashuki wala haji kusalimia nyumbani. Mi nikawa sifuatilii sana nikijua ni mtu mzima, cha muhimu mimi naangalia mke na watoto wangu tu; hayo mengine atajua mwenyewe kwa sababu ni mtu mzima.

Siku za wkend, dada yake akiwa hayupo, huyo shemeji anamuita mtu wake anakuja nyumbani wanafanya mazungumzo yao, na wakiona mida imekaribia mwenye mji kurudi, anaondoka kabla hajakutwa.

Siku moja dada yake , akamuuliza kama yuko kwenye mahusiano amtambulishe huyo mtu ili aweze kujulikana. Lakini binti alikataa; na baada ya kubanwa sana ndipo alikiri kuwa yuko kwenye mahusiano.

Mbaya zaidi hivi karibuni, hali ya shemeji inaonyesha ni mjamzito; na baada ya kuulizwa ni nani amemjaza amira? Akakiri, ni yule mpenzi wake. Dada yake alikasirika sana, na akamuuliza anampango gani na yeye, na je yuko tayari amchukue wakaishi naye? jibu alilomjibu, ni ndiyo, yuko tayari.

Nilivyojulishwa hiyo hali, mi sikuwa muongeaji sana kwa sababu mi huwa na tabia ya kujali yanayonihusu mimi tu, mke na watoto wangu tu.

Kilichonikasirisha zaidi kwa huyu shemeji, ni kuanza kuingilia mikakati yangu ya maisha; kinachojadiliwa ndani anampelekea huyo mtu wake hata kama hakimuhusu. Na hizo taarifa zilivuja baada ya kunaswa akiongea na simu na huyo baharia. Mbaya zaidi jana, kuna kazi alitakiwa afanye na asaidiane na vijana wa kazi; kilichonisikitisha zaidi aliwaambia hao vijana, mi hii kazi sifanyi kwa sababu mimi sijaajiriwa na silipwi mshahara, nyie mnaolipwa fanyeni hiyo kazi.

Nilivyojulishwa kuwa amesema hivyo, nilipatwa na hasira; nikampigia simu dada yake na kumuambia, kufikia jumapili awe ameondoka nyumbani na aende kwa huyo aliyempa ujauzito; kwa sababu hapo nyumbani si wodi ya waja wazito. Na aanze leo mpaka jumamosi kuwasiliana na huyo mtu, waweke mipango ya yeye kwenda kuhamia kwake.

Cha ajabu leo, nimepata mrejesho baada ya binti kuwasiliana na aliyempa ujauzito; baharia amemuambia bado kujipanga asubiri kwanza. Nami nikamwambia dada yake, msimamo uko pale pale, jumapili lazima aondoke mtu; kama mtu amehifadhiwa na anashindwa kupaheshimu alipohifadhiwa, inabidi akapambane na mazingira ya kujitegemea.

Sasa sijui baharia ndio amemtema hivyo, au kweli anajipanga; mi sijui!

Cha kujifunza; sisi wanaume tunapenda binti mrembo, mwenye kupendeza, nywele nzuri, ngozi nzuri, mavazi mazuri n.k bila kujua hivyo vitu vinagharamiwa. Na mbaya zaidi unapokabiziwa mtu mzima mzima ukamtimizie hivyo vyote, inakuwa shida; ndio hiyo kutelekezana.

Kwa kifupi, shemeji inabidi akapambane tu na hali yake iwe alidanganyika au utamu ulimzidi, ni shauri yake.

Mkuu bado hujamaliza mpakie kwenye gari na mizigo yake mpeleke kwa huyo baharia wake
 
Umefanya maamuzi sahihi kabisa. Ila tu huyo shemeji yako atakuja kujuta maana anadate na mme wa mtu. Ni hayo tu
 
Maamuzi sahihi kabisa, ndugu hawa tunajitoa sana kwa jasho na damu lkn hawana shukran zaidi ya matusi, aisee mzee kunywa peps mkubwa wao naja kulipa, shenziiiii yaani mtu utakuta unaishi dar hajui bei ya gesi, umeme, tv, chakula, maji, dawa ya meno, sabuni vyote anapata bure alaf analeta nyodo. Huyo mpe likizo akupunguzie usiku
 
Huyo mrudishe nyumbani kwao wao ndio wampeleke kwa bwana ake aliyempa mimba na wadai mahari yao
 
Kwanini ulikuwa unafuga dume kubwa hivyo nyumbani bila kumpatia angalau misimbazi kadhaa Kwa wiki ili aweze kujikimu mahitaji yake ya msingi? Asingekuvunjia heshima hivyo.. Angekwenda kwenye nyumba za wageni kumaliza haja zake.

Kama wewe ni mwanaume kweli na unaelewa kiu ya ile kitu utaelewa huyo bwana mdogo alizidiwa, wala sio dharau.
Mkuu nilikuwa namtoa Sana TU hasa wikend nilikuwa nampa vikaz na pesa nilikuwamnamtoa sema alijenga kiburi na dada yake alikuwa upande wake
 
Kwanini ulikuwa unafuga dume kubwa hivyo nyumbani bila kumpatia angalau misimbazi kadhaa Kwa wiki ili aweze kujikimu mahitaji yake ya msingi? Asingekuvunjia heshima hivyo.. Angekwenda kwenye nyumba za wageni kumaliza haja zake.

Kama wewe ni mwanaume kweli na unaelewa kiu ya ile kitu utaelewa huyo bwana mdogo alizidiwa, wala sio dharau.
Mkuu,mtu kugeuza nyumba yako kuwa gesti inahitaji moyo wa chuma kuvumilia
 
Kama mtu wake kamtelekeza wewe msamehe tu kaka ,ukimfukuza hapo alafu mtu wake kakimbia itakua ni kukitesa kiumbe kilichopo tumboni kisichokuwa na hatia yoyote ile , kama mtu wake atumuita mwache lkn akiingia mitini ,Msaidie tu kaka
Ushauri wako ni mzuri mkuu kama atajitambua; inawezekana akajutia na kuomba msamaha ili maisha yaendelee
 
Kwanza, nikupongeze kwa kuwa bize na maisha yako mke wako na watoto wako.

Maamuzi uliofanya Ni sahihi Sana.
Wewe jukumu lako Ni familia yako Ila huyo Shemeji mpaka alipovua ch*p Tayar anajielewa

Muache aingie mtaani baaade aje kuitwa mwanamke wa shoka..
Usigeuze nyumba yako kuwa sehemu ya kuhifadhi wazinzi waliopata mimba.

Maendeleoniwewe#
Kweli mkuu, inawezekana ikawa ni sehemu ya yeye kujifunza; kwa nini wamama wanatembeza mboga mboga
 
Back
Top Bottom