Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani.
Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani. View attachment 3082133
Nilivyoelewa, EU Wana vituko vyao wanavyovitambua Kwa ajili ya kutoa hiyo huduma. Unatakiwa uende kwenye hicho Kituo kilichoidhinishwa wakufanyie usaili na hichi uluchoweka hapa ni report baada ya kuonana nao na kukufanyia tathmini.
Ukipeleka ya magumashi, utakamatwa na kujitafutia matatizo zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.