HahahahaView attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana getoš„¹
Pole sana ila elewa kwamba Mwanamke havutiwi na muonekano na kujali kwako. Huwa anavutiwa na kile ulicho nacho tafuta hela za kutosha sio elfu tatu ya nauli na Chipsi Kuku na soda utateseka sanaView attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana getoš„¹
Pole aise , tafuta wa kula tunda kimasiharaView attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana getoš„¹
Uwe tu imara kama lilivyo jina lako.Kwani huwa hauogi,iwapo unaoga kwa ujumbe huu wewe ingia barabarani uandamane!View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana getoš„¹
Exactly šÆPole sana ila elewa kwamba Mwanamke havutiwi na muonekano na kujali kwako. Huwa anavutiwa na kile ulicho nacho tafuta hela za kutosha sio elfu tatu ya nauli na Chipsi Kuku na soda utateseka sana
yaaah nyama nyingiiiTIPWA TIPWA
Kabisa kaka naunga mkono hoja š šKaka Vincenzo Jr mbona ume react hivyo? Tunawaambia Vijana dryly waelewe tu hizo afu tatu, Chipsi Kuku na soda ni kupoteza tu bora wale hata supu ya samaki kutengeneza protein kwenye ubongo
Masikitikooo makubwa sana š§šš“š“Pole sana ila elewa kwamba Mwanamke havutiwi na muonekano na kujali kwako. Huwa anavutiwa na kile ulicho nacho tafuta hela za kutosha sio elfu tatu ya nauli na Chipsi Kuku na soda utateseka sana
sasa unatongoza tipwa tipwa unategemea nn?View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana getoš„¹
Rudisha avatar Yako ya zamaaniii kaka.Kabisa kaka naunga mkono hoja š š