Sam Wellson
Member
- Jun 1, 2022
- 65
- 224
Umekwama wap nikusaidieWakuu nahitaji assistance ya mtu aliepo Nacte ili anisaidie hii isssue yangu ya AVN, Kibaruani nipo busy sana nimeshidwa kupata muda wa Kwenda ofisi za Nacte, Nahitaji Connection za hapo Nacte.
Mimi nimuelewa and i will do the needful.
Asanteni.
Nimehaingaika sana na issue ya AVN mpaka dirisha la kwanza limenipita
Chuo wanasema Nacte hawajafungua miaka ya zamani ili waweke izo result, Wameomba request Nacte, But the System has not yet opened, Sasa niko kwa deadline the first round has passed me, I'm not seeing any development for Both Nacte and CollegeUmekwama wapi ukienda nacte watakwambia mpaka CHUO watume matokeo pambana na academic apeleke matokeo nacte
Pole sana hapo soma upya tuChuo wanasema Nacte hawajafungua miaka ya zamani ili waweke izo result, Wameomba request Nacte, But the System has not yet opened, Sasa niko kwa deadline the first round has passed me, I'm not seeing any development for Both Nacte and College
Kwanini unasema ivo mkuu na Vyeti ninavyo?Pole sana hapo soma upya tu
Chuo hawana access ya kupeleka matokeo ya kipindi cha nyuma wanaruhusiwa kupeleka matokeo ya etake husika ya muda huu ubebe vyeti uende nacte kwenyewe ndio Wana uwezo wa kuappload matokeo yako na kukupa AVN numberKwanini unasema ivo mkuu na Vyeti ninavyo?
Apply online alaf namba ya fom4 anza na NS2374 cio