Wakuu nimeibiwa

Leo umeibiwa nakupa pole yako, lakini ukikuta sehemu wanampiga mwizi utahubutu kushiriki?

It's Scars
Nilishawahi kuona, lakini naingiwa na huruma sana, lakini akiingia kwenye angalau zangu panic ndo itanifanya nisione huruma kwa muda huo
 
KWA MCHAGA ANAWEZA AKAWA KAIBIWA LAKI MBILI ILA ATAIWEKA KAMA KAIBIWA MILIONI 20...HA HA HA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ulikuwa humlipi au alikuwa kigodoro wako akaamua kuwa sasa basi kama kumtumia umemtumia vya kutosha
 
Mkuu hii kweli kabisa, kuna mama lishe alipanga kwa jamaa mmoja akawa amemlipa kodi ya miezi 6... Kijiwe kikamchanganyia yule mama ile mbaya, na kiukweli mama anajitahidi na huduma nzuri, so wateja kibao. Mwenye nyumba akapandisha kodi ili mama ashindwe afanye yeye but mama kalipia kiroho safi. Mwisho wa mkataba jamaa akaona aje na gia ya kukarabati nyumba hivyo mama akaambiwa aondoke. Mama akahangaika weee bahati akapata jamaa amefungua gesti mpya akamuomba aje afungue pale tena free kwa miezi 3 ya mwanzo ili kuitangaza gesti yake. Mama akahamia pale na wajeta wake, pia akaanza kuuza na vinywaji na bia... Yaani baada ya miezi sita kile kijiwe kikawa very famous na biashara ya mama ikawa imeongezeka mara dufu. Jamaa akiyemfukuza alipoanza biashara pale haiku changanya na hakupata wasimamizi wazuri, so ndani ya miezi 2 biashara ikayumba na kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo yako yalivyo huyo atakuwa mshirika waki wa ngono. Mmegombana kaamua kuondoka na kukukomoa kuondoka na pesa na vitu. Anaingiaje chumban kwako na kuchukua pesa
 
Achana naye, na wala usipoteze muda wako kuhangaika kumtafuta, kubali matokeo na move on na maisha yako, ichukulie kama somo kwako kwamba siku nyingine usimuachie mtu fedha kiasi kikubwa, mengineyo ni sehemu ya maisha tu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…