Wakuu nimeanza mwaka kwa kupata jembe

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
814
Poleni wana jamii forum na majukum ya kitaifa.Leo ninafuraha sana mke wangu kipenzi kajifungua.Wakati ananipa taarifa kajifungua nilishituka sana maana nilikuwa na shauku sana ya kujua ni mtoto wa jinsia gani ase mwili ulipigwa ganzi ghafla.

Nikasikia wife anasema mtoto wa kiume ase nashukuru wife kajifungua salama na kaleta toto la kiume jamani vijana mtoto raha sana ase ananipa nguvu za kupambana ili ale asome.Ushauri kwa vijana vizuri tuzae jamani watoto raha sana

Naombeni jina zuri kwa ajiri ya uncle wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom