Wakuu nimeanza driving school...

simba jike

Senior Member
Mar 23, 2017
182
535
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
spare my ribs
yaani hadi nimetokwa na machozi kwa kicheko lol
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
Hahaaa mkuu,ilikuwa kawaida wenye magari kutongozea wadada, Sasa kila mtu atakuwa na noah yake, hakuna mtongozo hahaaaaaaa
 
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom