Wakuu nimeanza driving school...

simba jike

Senior Member
Mar 23, 2017
182
1,000
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,825
2,000
Sasa hivi watapata wanafunzi wengi sana fungua na wewe ya kwako ukishajua kuendesha kumbuka wa Tanzania milioni 50 lazima wajue kuendesha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom