Wakuu nifanyeje jaman hapa?

Wakuu nifanyeje jaman hapa?

IMG-20261004-WA0124.jpg
 
Kama misingi ya kidini yako inaruhusu kuoa mtoto wa Shangazi, si umuoe tatizo liko wapi?
Kutoa mimba unaweza kumuua mpenzi wako (mtoto wa Shangazi yako),
kutoa mimba ni kuua kiumbe kisicho na hatia,
kutoa mimba ni moja ya sababu kubwa ya ugumba kwenye jamii....
kutoa mimba ni dhambi ....
 
Kama misingi ya kidini yako inaruhusu kuoa mtoto wa Shangazi, si umuoe tatizo liko wapi?
Kutoa mimba unaweza kumuua mtoto wa Shangazi yako, Kutoa mimba ni dhambi kubwa, kutoa mimba ni kuua kiumbe kisicho na hatia, kutoa mimba ni moja ya sababu kubwa ya ugumba kwenye jamii....
FUNZO:
Vijana watunze nyegezz zao kwa matumizi halali na watu sahihi wasio na walakini.Laa sivyo,wataoana sana ndugu wa damu/uhusiano/(umbu)mmoja kwa lazima.
 
Back
Top Bottom