Unaonaje ukienda ofisi za Dstv? Wao watakuelekeza vizuri jinsi ya kufanya.
Wakuu nawezaje kuangalia Dstv kupitia pc yangu,nina connection ya internate kwa masaa 24.Kwa yeyote mwenye kufahamu tafadhali atujilishe kwa faida ya wengi.
ha ha wewe ushauri gani huu
Mkuu wamavoko nikitaka supersport 3 nafanyaje?lazima niwe na software kwa ajili ya ku play?Unataka channel gani za DSTV maana kuna baadhi unaweza ku stream Online kama CNN,MTV na CNBC etc
Kuna online TV nyingi tena nyingine zinazopatikana kwenye DSTV za kumwaga zaifi we google channel husika afu malizia " Online TV" e.g CNN onlineTV etc
Mkuu wamavoko nikitaka supersport 3 nafanyaje?lazima niwe na software kwa ajili ya ku play?
wanachokionesha SS3 wanatoa SKY SPORTS ambayo nayo iko Online waweza kui stream...
Au Be iN sports nao wanachota toka SKY SPORTS za UK hivo basi ukipata Be iN sports au Sky sports ujue unayo SS3 Tayari
Tena kama una Flat Screen unatumia VGA cable una connect utapata vitu vya ukweli na hizi channel mara nyingi ni HD
sihitaji kuwa na software yoyote ili niweze kuona kwenye PC yangu?
ukitaka kutazama kama you tube wanakwambia lazima uwe skyID sign up,ngoja nijaribu kwa link uliyoniyumia mkuu.Kwanza umejaribu ku- google au?
Inategemea na website utakazo pata maitaji yake yako je?
Mfano Unaweza kuchukua Streaming Link ukaweka kwenye VLC afu ukaanza kutazama...
Au ukatazama hiyo channel kama unavyotazama Youtube Online kwenye browser yako
Watch Sky Sports 3 Live Stream Free Online | Time 4 Tv
ukitaka kutazama kama you tube wanakwambia lazima uwe skyID sign up,ngoja nijaribu kwa link uliyoniyumia mkuu.